New List of Skilled Occupation In Australia as Per July 2013

New List of Skilled Occupation In Australia as Per July 2013

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,407
Please pitia ukurasa wa hiyo pdf uone kama una skills wanazohitaji huku uapply.. information is power
 
Attachments

kama sijaelewa vile, tunaomba ufafanuzi.
 
Kila mwaka kuna nafasi za kazi ambazo huku Oz wanahitaji watumishi, kwa mwaka huu list hiyo kwa pdf kama una hizo skills basi unaqualify kuapply na kuja kuishi huku kwa visa namba 457 skilled visa! Kwa info zaidi pitia www.diac.com.au

Wenzetu waasia wako kibao na wanafanya professional jobs, why not tanzanians? Please just have a look kwani kila kazi ina agent anaeshighulikia, am sure kama ukiamua unaweza na ukipata likely kupata 5-10m tsh kwa mwezi!
 
Kwenye red
Matumizi ya hicho kipato yakoje? Nauliza maana South Africa mishahara iko juu lakini kopo la soda ni USD 2; Viatu vya kike ambavyo hapa kwetu ni TZs 45,000 kule ni Rand 1000 sawa na TZs 180,000/=
 
Acha woga ndugu, uliza watu walioko huku usiweke mazingira ya kuogopa ogopa hata kabla hujajaribu. Kwa mf kama unaishi na familia geto tu room nalipa $500/week full furnished room, wifi, power(kupika et al) 3bdr, groceries $150/week na fuel lt 50/wk (due to weather) $ 110, simu $40/month! Jumlisha yote kwa wiki fanya 800/week na 2400 kwa mwezi!

Sasa kama unafanya kazi professional hukosi $50/hour zidisha mara 40hrs ni 2000/week! Na mshahara ni kila baada ya siku 14!

Punguza woga aisee pitia pdf hiyo
 
Kuhama nchi ya watu Sio rahisi. Kuna gharama Kama medical, police clearance kwa nchi zote ulioishi zaidi ya miezi 6 na gharama za visa. Pia Lazima ujue kuomba visa au utumie Wakili. Pia utayarishe transcripts za Masomo yako na elimu yako, ikinalike . ---- madaktari na mainjinia wengi kutoka nchi masikini wanasubiri vyeti vyao kulunaliwa Aidha baada ya kusoma tena kozi. Wanasota kuendesha taxi au kuuza pizza kwa kuwa elimu Yao haitambuliki. Pia uwe tayari kuonyesha una $15000 kwa Mtu mmoja ili uweze kujitegemea unapofika. Hapo bado ticket na Hamna gerentii kuwa kazi inakusubiri huko. Na mwisho, ikulikane kuwa wazungu wa Australia ni wabaguzi sana , kuliko hata waingereza.
 
www.immi.gov.au/

Angalia hapo ujue zaidi. Nawatakieni heri waliotayari kwenda lakini ujue njia Sio rahisi but not impossible. Jitayarishe kufanya kazi yoyote Sio Lazima ya elimu yako au kwa fedha unayotegemea. Najaribu kukupa fair expectation.
 
Back
Top Bottom