afrodenzi
JF Senior Expert Member
Join Date:Mon Nov 2010
Location:sweet home
Posts:2,096
Thanks:250
Thanked 232 Times in 216 Post
Na leo sijui umejificha wapi mama watoto wangu mtarajiwa, njoo basi huku unipoze roho yangu
ewe kipenzi cha roho yangu AD.
Usiwe na shaka..naamini AD atakuja muda si mrefu..Ngoja kwanza atoke kwa mchungaji kupata baraka za siku hii tukufu ya leo!
Huyu dada anatisha sana na anameremeta...Hebu ona vitu vyake...
Yaani amechapa wastani wa mitundiko 47 kwa siku. Hii ina maana baada ya mwaka mmoja atakuwa anafukuzana na wazeee wazima wa JF kwa kuchapa posts kama 17000!!!
Namfagilia sana huyu mjukuu wangu....Bravo AD!!!
Si mchezo nami naomba nimkabidhi dedication hii kwa siku ya leo kutokana na upole na uelewa wake katika michango yake hapa jamvini.
YouTube - DDC Mlimani Park Orchestra Nawashukuru Wazazi Wangu.
anastahili hongera aisee!
si mchezo.
Hongera Afrodenzi!!
mmmhhh paka na we asante sana kwa nyimbo hii ya tatu sasa ninadownlod
asante sana kwa dedication ....
Na leo sijui umejificha wapi mama watoto wangu mtarajiwa, njoo basi huku unipoze roho yangu
ewe kipenzi cha roho yangu AD.
hahahahah lol mi niko samahani kidogo kwa kuchelewa.....
vipi humu ndani naona Babu DC kaniandalia suprise party ,,, kwa kweli
Usiwe na shaka..naamini AD atakuja muda si mrefu..Ngoja kwanza atoke kwa m
Babu DC asante sana kwa surprise party....... i just dont know how to thank you.. God Bless u..
Nashukuru babu kwa kunitoa dukuduku langu moyoni na bila shaka atapitia kule ulikonitolea utabiri wa maisha yangu ya ndoa hapo baadaye.
asante sana bibi Chausi wangu.....
je ile mihogo umesha kaanga..
maana chchandu nimesha andaaa..lol
Babu mwenzangu naona umekuwa bize kufuatilia profile za wajukuu zetu.
Huyu afrodenzi naona analala na keyboard.....