Naombeni mnipokee jaman!
Naombeni mnipokee jaman!
Naombeni mnipokee jaman!
Naombeni mnipokee jaman!
By Mgumuink
Naombeni mnipokee jaman!
karibu sana...... Ila naomba unione kwaajili ya kukufanyia ukaguzi
mtani naona ulikuwa mlangoni unasubiri mgeni.....Karibu sana JF na CC...
Ahsante kwa taarifa.... ushafanya utafiti kujua kama ni he/she??
Naombeni mnipokee jaman!
mtani naona ulikuwa mlangoni unasubiri mgeni.....
wenzio tupo kwenye mabomu huko wewe umejificha ndani, lol!
Ndo hivyo mtani....Hahaha...nimefungiwa kifaa spesho kwa ajili ya kugundua pale tu mgeni anapobisha hodi...
Duh!! polenisna na hayo makitu mtani maana naona sasa sirikali imeamua kupambana na raia wake