New jf member

Hahaha...nimefungiwa kifaa spesho kwa ajili ya kugundua pale tu mgeni anapobisha hodi...
Duh!! polenisna na hayo makitu mtani maana naona sasa sirikali imeamua kupambana na raia wake

mtani naona ulikuwa mlangoni unasubiri mgeni.....
wenzio tupo kwenye mabomu huko wewe umejificha ndani, lol!
 
Hahaha...nimefungiwa kifaa spesho kwa ajili ya kugundua pale tu mgeni anapobisha hodi...
Duh!! polenisna na hayo makitu mtani maana naona sasa sirikali imeamua kupambana na raia wake
Ndo hivyo mtani....
tutafika tu
 
karibu mgeni ukishapita vitengo vyote vya ukaguzi mimi nipo kwaajili ya kuwezesha watu kiuchumi...karibu..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom