New Huawei Mobile Partiner

POLENI KWA WALE MLIOSHINDWA KUPAKUA FAILI HILI HAPO NYUMA KULIKUWA NA MATATIZO YA KIUFUNDI LAKINI SASA HALI IPO SHWARI.

halafu kuna mshenzi mmoja ameniibia hii modem yangu nilikuwa navuka kigamboni....

huu ndo muda wakuanza kutafuta mipango madhubuti ya kuwakomoa wanaoiba modem.....

haya maujanja ntayaleta hapahapa. kaa mkao wa kula
 
mkuu unamaanisha ujanja wakumkamata aliyekuibia modem?will b waitin 4 dat...thanx coz u gonna keep the jukwaa charmin
 
mkuu unamaanisha ujanja wakumkamata aliyekuibia modem?will b waitin 4 dat...thanx coz u gonna keep the jukwaa charmin

yeah... bado nipo kwenye majaribio lakini sio kumkamata mwizi moja-kwa-moja, itakuwa kumzuia asifanye installation kwenye kompyuta yoyote ile.
 

naisubiri hii
 
mkuu Nyasiro hii ntaipatajeee?? Maana hyo link ya kudownload imehakufa
 
Last edited by a moderator:
mkuu Nyasiro hii ntaipatajeee?? Maana hyo link ya kudownload imehakufa

Pole sana kuna matatizo yalitokea katika hosting account yangu file zote zikapotea lakini ucjali nurbert ngoja ni-upload tena
 
Last edited by a moderator:
nurbert sasa unaweza kupakua....
 
Last edited by a moderator:
nurbert sasa unaweza kupakua....

Naomba unisaidie modem yangu ya zantel ambayo ni huawei ec122
Inakata laini zote hata ile ya kwake yenyewe, sijui ina shida gani!
Naomba msaada please
 
Last edited by a moderator:
Naomba unisaidie modem yangu ya zantel ambayo ni huawei ec122
Inakata laini zote hata ile ya kwake yenyewe, sijui ina shida gani!
Naomba msaada please

Modem za Zantel karibu zote hazitumii line yoyote ile kwani namba yake imeishaunganishwa moja kwa moja... kwa hiyo ni vigumu (haiwezekani) kuchakachua modem za aina ya CDMA kama hizo.
 

Mkuu tunapataje hii modem?
Nani ana supply?
 
wakuu mi nadhan hii inantosha ila nngepata updater setup ake ingekuwa poa xana! hebu cheki new skin new speed kikwetu huku kupata speed kama hiyo ajabu kwelekweli thanks 2 mkuu six C6 my top lukin prety gud nw..
 
wakuu mi nadhan hii inantosha ila nngepata updater setup ake ingekuwa poa xana! hebu cheki new skin new speed kikwetu huku kupata speed kama hiyo ajabu kwelekweli thanks 2 mkuu six C6 my top lukin prety gud nw..View attachment 105527

Naona Umeweka dashboard Za Watoto... mapambo Mengiiiiiiii
 
mkuu Nyasiro link uloweka hairepond.. napata ujumbe huu

then na ile aloweka kimox imezengua kuanzia jana.. haiconnect..inaleta ujumbe huu

nimejaribu kuunstall na kuinstall haijafanikiwa.. nimeiupdate upya kwa kutumia firmware ile ile lakin bado haijasaidia..
mwenye version nyingne anisaidie wakuu..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…