New Huawei Mobile Partiner

Mimi nina Hauwei e153 na e173, je ninaweza kufanya yote hayo na nikafanikiwa. Zote ni Tigo. Ahsante
 
Mkuu, version hii pia ina autoconnect nimeona hivyo mara 1, naomba link nijaribu pia hii unayosema nione tofauti. Thanks

nishazijaribu nyingi, lakini bado ile ya tigo ni nzuri sana , inastart haraka na ina auto connect, auto minimize , lunch automatically once device inserted.
kwa hiyo ni kuwasha komputa na kutumiai net tu..... hamna kusumbuana na connection
 
Kwenye e173 nimeshindwa, ina bugs nyingi na hairespond. Nimelazimika kurudi nyuma.
so umefanya firmware update lakini ikaonekana kutofanya kazi vizuri... asante kwa feedback sasa wenye hizi modem za e173 inabidi watumie kwa tahadhari
 
Ndiyo, baada ya ku-update firmware ndo ikaanza kusumbuwa, lakini nasikitika sana hata hivyo nitaona nini cha kufanya

so umefanya firmware update lakini ikaonekana kutofanya kazi vizuri... asante kwa feedback sasa wenye hizi modem za e173 inabidi watumie kwa tahadhari
 
nyasiro nimetengeneza custom huawei dashboard update v23 kwa ajili ya modem na windows installer, kasheshe baada ya unpack nikamodify, ishu ikAja kurepack .bin file. niki jaribu kuinstall kwa setup.exe haiioni hiyo binary file, sijui nimechapia wapi?
 
Last edited by a moderator:

duuuh pole sana mkuu ngoja niangalie tutafanyaje... txt yangu hujanjib bado kuhusu ile ishu
 
Tayari mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…