Heshima kwenu wana jf. Natumaini mko poa. Naomba msaada wenu tafadhali natafuta contacts za Academic Master wa shule hii niongee naye. Mwenye kuweza kuwa nazo anisaidie nitashukuru sana.
Nime google lakini sikufanikiwa.
Shukrani zangu kwenu wadau. Siku njema na kazi njema.