Mkuu nenda kariakoo. Kwa bajeti yako hiyo unapata mashine nzuri mno kuliko hata kwa viwango ulivyotaka.Habari wanajamvi, ni wapi ndani ya Dar es salaam nitapata desktop computer mpya kwa bei ya 800k hadi 900k, processor i3 au duo core, ram 4gb na hdd 500gb brand ni Dell au Hp
Nakazia hii point.Mkuu nenda kariakoo. Kwa bajeti yako hiyo unapata mashine nzuri mno kuliko hata kwa viwango ulivyotaka.
Processor i5+, ram 4gb+, kio 20"+ hdd gb500 hata 1tb
Kiongozi nazungumzia New Pc na sio Used or refurbished, Nielekekeze hilo duka la New Desktop Computer kwa 400kKuwa makini utapigwa mda si mrefu kwa viwango ulivyosema hapo. Gharama haiwezi zid 400k. Kwa aina ya computer uitakayo.
Pouwa wakuu, nitapita hukoNakazia hii point.
Mkuu kwa Dar nenda Laptop City Posta Zanaki Street nyuma ya NHC House, au nenda google chukua no zao uwapigie.Habari wanajamvi, ni wapi ndani ya Dar es salaam nitapata desktop computer mpya kwa bei ya 800k hadi 900k, processor i3 au duo core, ram 4gb na hdd 500gb brand ni Dell au Hp
Hao laptop city si wapo moroko pia? Wana desktop?Mkuu kwa Dar nenda Laptop City Posta Zanaki Street nyuma ya NHC House, au nenda google chukua no zao uwapigie.
Unadanganya mkuu i3 upate chini ya laki 400000 labda isiye mpya ,but brand new ni kuanzia laki 6 au 7 .Kuwa makini utapigwa mda si mrefu kwa viwango ulivyosema hapo. Gharama haiwezi zid 400k. Kwa aina ya computer uitakayo.
Hizi ndizo dalili za kupigwa ,huwezi pata Brand new Dell au HP kwa bei ya 400kKiongozi nazungumzia New Pc na sio Used or refurbished, Nielekekeze hilo duka la New Desktop Computer kwa 400k
Nimemsoma kumbe anataka new kabisa yani ifunguliwe kwenye box, hapo hiyo bajet yake ndogo. Zinafika mil1+.Unadanganya mkuu i3 upate chini ya laki 400000 labda isiye mpya ,but brand new ni kuanzia laki 6 au 7 .
Namba zao nshapiga sana hawapokeiHao laptop city si wapo moroko pia? Wana desktop?
Sijui kwanini ila mawazo yananiambia wanabebwa na jina na maeneo waliyochagua
Ilaaa. Capricorn .niliona walikuwa nayo ya 2duo. 400k. But sikumbuki kama bado itakuwepo.Kiongozi nazungumzia New Pc na sio Used or refurbished, Nielekekeze hilo duka la New Desktop Computer kwa 400k
Hawa jamaa bei zao sio rafiki, mleta mada zama maduka mengine huko kariakoo..Mkuu kwa Dar nenda Laptop City Posta Zanaki Street nyuma ya NHC House, au nenda google chukua no zao uwapigie.
Nenda jengo la Jmall, jirani na mars communication, jamaa bei zao ziko pouwa sanaNami nahitaji desktop brand new wadau
Nami nahitaji desktop brand new wadau