New Desktop Computer

mbududa

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
721
2,375
Habari wanajamvi, ni wapi ndani ya Dar es salaam nitapata desktop computer mpya kwa bei ya 800k hadi 900k, processor i3 au duo core, ram 4gb na hdd 500gb brand ni Dell au Hp
 
Mkuu nenda kariakoo. Kwa bajeti yako hiyo unapata mashine nzuri mno kuliko hata kwa viwango ulivyotaka.

Processor i5+, ram 4gb+, kio 20"+ hdd gb500 hata 1tb
 
Kuwa makini utapigwa mda si mrefu kwa viwango ulivyosema hapo. Gharama haiwezi zid 400k. Kwa aina ya computer uitakayo.
Kiongozi nazungumzia New Pc na sio Used or refurbished, Nielekekeze hilo duka la New Desktop Computer kwa 400k
 
Habari wanajamvi, ni wapi ndani ya Dar es salaam nitapata desktop computer mpya kwa bei ya 800k hadi 900k, processor i3 au duo core, ram 4gb na hdd 500gb brand ni Dell au Hp
Mkuu kwa Dar nenda Laptop City Posta Zanaki Street nyuma ya NHC House, au nenda google chukua no zao uwapigie.
 
Hao laptop city si wapo moroko pia? Wana desktop?

Sijui kwanini ila mawazo yananiambia wanabebwa na jina na maeneo waliyochagua
 
Yap, nuliina pale morroco kabra hawajafungua rasmi, mimi huwa nanunua ile ya posta, kikubwa wapigie kabla ya kwenda utapata majibu yote.
 
Kuwa makini utapigwa mda si mrefu kwa viwango ulivyosema hapo. Gharama haiwezi zid 400k. Kwa aina ya computer uitakayo.
Unadanganya mkuu i3 upate chini ya laki 400000 labda isiye mpya ,but brand new ni kuanzia laki 6 au 7 .
 
Kiongozi nazungumzia New Pc na sio Used or refurbished, Nielekekeze hilo duka la New Desktop Computer kwa 400k
Hizi ndizo dalili za kupigwa ,huwezi pata Brand new Dell au HP kwa bei ya 400k
 
Unadanganya mkuu i3 upate chini ya laki 400000 labda isiye mpya ,but brand new ni kuanzia laki 6 au 7 .
Nimemsoma kumbe anataka new kabisa yani ifunguliwe kwenye box, hapo hiyo bajet yake ndogo. Zinafika mil1+.

Akijitahidi laki 5+. Anapata ya 2duo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom