New Delhi: Tembea ujionee

Umesema kweli Mkuu. NOIDA SECTOR 62 pia lilikuwa chimbo langu la kusocialize na wabongo

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Hey byaa kiawaa!!ye achae baria hindustan..mkuu parika bazar under graund shops si mchezo..
 
mkuu especialy Greater Noida pia wana appartments nyingi sana, asee wewe umeishi Delhi miaka ipi mkuu ? mimi nilikaa Hauz Khas, Padmini Enclave , hata Noida nimeishi
 
Mkuu hapo GB ROAD nishatimba sana enzi zangu kwa miaka mitatu kufuata PAPUCHI YA KIHINDI- nilikuwa naingia namba 72 kwa jamii ya wanepal hivi, we mkuu ulikuwa na koloni room namba ngapi..tukumbushane bwa Shekhe..
Hahahahaha GB road kaka siku ya kwanza sijatimba mshikaj wangu mmoja alikuwa anasoma Punjab , mji wa Chandighar akaniambia hapo kuna watoto wengi paka wakichina kinepal, nikawa navuta picha itakuwa bonge la sehemu , nikachukua Rickshaw nilikuwa mitaa ya Rajiv Chowk usiku nakula mtungi, kwenda pale kujionea hayo mazingira balaa, kwenye ngazi unapishana na watu mia wanapanda mia wanashuka, uwanja wa fisi unasubiri, unagonga ishu kwenye vitanda vya chaga tupu, paka msuli ukanikamata , bei ni rupee 500 tu ilikuwa, what an experience , mimi nahisi nyumba ilikuwa 60 fulani mayb au 70 aswell
 
Maleta. Jamaa angu kutoka Malawi, alikuwa anasoma Chennai, alikuwa akija likizo kwa ndg zake wa Malawi Embassy, ndio alikuwa akipenda sana safari za GB Road, basi na mimi ndio hapo nikaijua vizuri!
 
Bajaj za huko zina metre baada ya safari inasoma unatakiwa kulipa sh ngapi.
Sina uhakika. Ila binafsi tulikuwa tunalipa kwa reference ya vituo, na nauli zake kama kama Tanzania tu, japo wakikuona mgeni wanaropoka bei!
 
Hapo kw3nye hony ndo penyewe kumbe ni India yote,?? Nilidhan ni chennai (madras), na mumbay peke akeee
 
Yes most of them ukiwachokoza.. Ila Indians weng wanawaogopa Nigerians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…