New Dar Master Plan to render millions homeless

Mjinga huyo
Sijui kama wewe unaongea kabla ya kufikiria au baada ya kufikiria...maana pumba pumba pumba pumbaaaa
Mjinga Huyo Dada,,hapo alipo ht bei ya cement hajui ,,wala ya nondo,,, ndio maana akaitwa AMADOL,,(
 
Bora nirudi zangu bush tu....maisha ya kushindia vipande vya mihogo na kahawa yamenichoshwa wakati watu wanakula na kusaza.....
 
Kuna watu walikua wanaishi bila kufuata sheria na kupenda shortcuts hao ndio wataumia katka safari hii ya mabadiliko

Ungekua wewe unafuata sheria basi usingeishi tanzania.

Maana walioweka sheria hawazifuati wala kuzisimamia.

Na hawajali utu wala ubinadamu wa watu na unyonge wao.

Sasa wewe katika mazingira hayo unafanya nini tanzania? Kama utakua ``mhamiaji haramu`` basi rudi kwenu, tuachie nchi yetu tuishi wenyewe tunavyoweza kulingana umasikini wetu tulio nao.

Tuacheni tuacheni tuacheniiiiii. Hiyo misheria yenu ya unyonyaji pelekeni kwenu huko sio hapa tz kwa masikini.
 
Haha hah mkuu komaa na jiji

Usidhani huko bush utapona..huko pia kutatakiwa plan mpya na watabomolewa.


Nakushauri kufa kabisa uzikwe.

Ukijifanya unakejeli masikini ujue iko siku utaanguka kimaisha na utakua zaidi ya masikini.

Lofa wewe.
 
Kwan ww unapenda mabadiliko?!
 
laki tano idadi ya nyumba, gharama ni hiyo dola 100,000
 
Usidhani huko bush utapona..huko pia kutatakiwa plan mpya na watabomolewa.


Nakushauri kufa kabisa uzikwe.

Ukijifanya unakejeli masikini ujue iko siku utaanguka kimaisha na utakua zaidi ya masikini.

Lofa wewe.
Ugumu wa maisha yako unakutoa akili wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…