New Dar Master Plan to render millions homeless

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,452
Reaction score
3,152
Mliojenga Maeneo yasiopimwa, na Maeneo yaliokatazwa, better read this 👇👇


SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

Hii maana yake ni kwamba zaidi ya robotatu ya nyumba zilizipo Dar zitabomilewa kwani wengi wa waliozijenga ni watu wa kipato cha kawaida wasio na uwezo wa kununua viwanja vilivyopimwa!
Swali kubwa zaidi ni je, km sehemu kubwa ya ardhi ya Dar haijapimwa je ni kosa la nani? Pia je, ni sahihi kubadili badili masterplan ya jiji ndani ya miaka 20? These people cannot be serious! Serikali iwe makini na mambo yake isije ikasababisha crisis ndani ya jiji.
 
Last edited by a moderator:
Sometime unashindwa kuamini hivi vitu! Magu anatafuta kupinduliwa. Aliyepaswa kuupanga huu mji ni nani? Nasmini wana mabilioni ya kutosha kulipa fidia!
 
Mimi ni mmoja wa watu ambao natamani Miji iwe imejengekaa vzr, ingawa Magufuli anakazi nzito kuujenga huo mji, ila hakuna namna.

Lawama zote zielekee kwa mwinyi, mkapa na JK.
Enzi za nyerere nyumba zilikuwa zimepangwa vzr, kila nyumba umbali wa mita 6
 
Jiji la Dar inabidi waishi watu wenye shughuli na sio kila mtu anataka kuishi Dar.
 
Pamoja na dhamira njema ya kufanya yote haya,gharama hii ataibeba Magufuli na CCM yake mwaka 2020 huku mijini.
 
Hiyo ni simply impractical na haiwezekani, angalia Tabata almost wanasema itakuwa ya wafanyakazi tena taasisi chache na lundo la wafanyakazi wengine waishi wapi??

Pili plan hii inanikumbusha walioenda kuplan Kigamboni master plan ilikuwa nzuri kweli ila tuna hela za kulipa fidia Dar nzima ili tuipange upya au tunataka kuanzisha mgogoro mwingine kama wa Kigamboni??

Plan ni nzuri ila haitekelezeki labda ingekuwa inatekelezwa in peace meal
 
It is cheaper for the Government to go back to the drawing table and include the current residential units. It's not proper to demolish residence accommodation os 3m people. Serikali ikitaka kupunguza msongamano Dar, they have build Gov. OFFICES OUT OF THE CITY, na pia itapunguza mandala like wengine wizarani. Mwenye shida na wizara yeyote apande daladala, wananchi masikini ambao hawakujenga kwenye mabonde au vyanzo vya maji waachwe walipo.
 
Kuna tatizo la kimfumo hapo lazima liangaliwe. Serikali ya Jamhuri ya Muungano mipaka yake kwenye kupanga miji ikoje. Mamlaka za serikali za mitaa hazimiliki ardhi, lakini madiwani ndiyo wenye kumiliki miji, jee vikao vyao havina mamlaka ya kisheria ya kuhalalisha ujenzi unaoitwa "Uvamizi" na Serikali ya JMT? Serikali za mitaa zenyewe haziwezi kushitakiwa na hao wanaoitwa wavamizi leo, wakati zenyewe ndizo zilitoa "vibali vya ujenzi" kwenye maeneo hayo?

 
Utaratibu huo ni mzuri nilipata kuona makala moja enzi za utawala wa serikali ya awamu ya wakati rais Mkapa alipotembelea china.
Wao pia walikuwa na maeneo yasiyopimwa lakini kilichokuwa kinafanyika walikuwa wanaorodhesha wakazi wa eneo husika kisha linaboreshwa kwa kujengo majengo ya kisasa.

Wahusika walikuwa wanapewa uchaguzi wa kupewa apartment au pesa maana huwezi kuwaondoa wananchi bila ya kuwalipa fidia
 
Hivi ni nini hasa kinafanya upimaji viwanjs kwa mtu binafsi so complicated? Kwa nini isiwe huduma rahis km kuweka umeme au maji?
 
Hivi ni nini hasa kinafanya upimaji viwanjs kwa mtu binafsi so complicated? Kwa nini isiwe huduma rahis km kuweka umeme au maji?

Tanzania hatuna wataalamu tunao wachumia tumbo tu ambao kila kitu kinachofavour upande wao hata kama ni kwa muda mfupi wao hukipitisha mara moja. Hebu angalia ambavyo tumepoteza old DAr city image kwa kubomoa majengo ya zamani na kujenga majengo mapya, marefu naarufu kama sky scrapers. Badala ya kuanzi sha miji mipya inayozunguka old city maarufu kama satelite cities, tumegangania kubadili image ya mji wetu na kuaribu kabisa miundo mbinu yake. Wanaojiita maprof, ma dr hamna kitu kabisa. Nchi za wenzetu old city ni chanzo cha mapato ya serikali yakitumika kama sehemu ya utalii, sisi tunafuta kabisa.
 

Licha ya kwamba wengi tunataman jiji la dsm lionekane vizuri ila gharama ya kulifumua ni kubwa sana na sidhani kama ni dhamira yao kufanya hivyo! Wanachofanya sasa ni kuondoa wote waliojenga kwenye mabonde ya maji, maeneo ya wazi na kwenye fukwe!! Haya mengine sidhani kama watavunja!
 
Kama Magufuli anataka nchi isitawalike, basi atekeleze huu mpango. Ni rahisi kutenga maeneo mapya ya viwanda na kutengeneza master plan mpya ambayo ina accomodate the current situation.
 
Tubanda twenyewe tutakua labda 500,000.
So 500,000x$100,000=50,000,000,000/=
Hivi kagesi ketu hakatoshi kulipia hili zoezi?
Mbona ni tujisent tu huto jamani?
 
Sometime unashindwa kuamini hivi vitu! Magu anatafuta kupinduliwa. Aliyepaswa kuupanga huu mji ni nani? Nasmini wana mabilioni ya kutosha kulipa fidia!
Hakuna kitu kama hicho.ushindwe kabisa.
 
Hui ni upuuzi wa hali juu na katika hili wizara husika iwe makini sana, swala la kupima ardhi siyo la raia bali wizara husika, kilichopelekea watu kujenga kiholela ni serikali maana wao ndio waliotakiwa kuyapima maeneo kabla. Hivi kimara na mbezi shamba wataanzaje kuvunja elhal hawakupima? Mbona mbweni wamepima na watu wanajenga kistaarabu!! Lukuvi kua makini katika hili or else mtawaumiza watanzania bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…