Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Aiseeh umeni frahisha Sana mkuu Nina imani shemeji kakushika paba ya😄😄Miezi ishaisha.
Aiseeh umeni frahisha Sana mkuu Nina imani shemeji kakushika paba ya😄😄Miezi ishaisha.
Sawa sawa mkuu
Ni watu kujihami tuNyuzi za namna hii zinatembea sana
Ni either tunapenda umbea ama tunapenda watu wapendane
Hongera financial services
Msinisahau kwenye mchango 😍
Linazoeleka unaona kawaida tuBaada ya kuloweka mara kwa mara inakuwaje mkuu?🤣🤣🤣
😀😀😀Sijui kwann hua naamini penzi lolote linalotumia platform flan kuaminisha watu wanapendana naona kama Lina tatizo hv
Mbona manzi yako hachangamkii uziOur love is true and real!!