New comer ndani ya JF

mm najua tu.
Hawa member wote waliojiunga Leo ni Simba. Na wote wako happy.

Yaan. Mtu kisukar kimekupanda alafu uamue ujiunge JF. Sidhani.
Kwanza hata kuwa macho sasahivi na ww ni shabiki wa Yanga. Ni ujinga.

Lala mapema. Ili maumivu yaishe😁😁😁😁
 
Kwasabu kuna member kafungua id na kuanza kuombaomba ela bila kujitambulisha,nyuzi zikafutwa kwahiyo naye ana fuata utaratibu
Alafu Shem wa dunia. juzi juzi tu hapa kuna member mmoja alinitumia picha za wadada wanne wa JF. Kawataja na majina. Na wadada wawili kati yao wako naked (ila sio naked ile ya nude) ila wanaonekana sura na kawataja na majina.

na akasema anaweza niunganisha nao.😊😊😊

najua utataka kujua nimemuambiaje sio?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…