Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,370
- 29,610
Kitu kizuri kabisa ninachokiamini katika kanisa letu hili ni namna viongozi wanavyopatikana. Makanisa mengine ungeona kambi za wagombea zinatoana jasho. Huku ni so peaceful wakiongozwa na Roho Mtakatifu mpaka kiongozi anapatikana. I like this church. Hata speech ya Pope si za wanasiasa, kaongea machache tu basi. Laiti tawala za kidunia (za wananchi) nazo zingikuwa hivi ingekuwa bora sana. Kanisa Katoliki ni mfano wa kuigwa.
Alishindana na Benedict wa 16 mwaka 2005 halafu alijitoa ili ampe ushindi mwenzake
Kweli mtu mnyenyekevu na simple, kaomba umati umwombeeHe looks humble, na ndio maana amechagua humble name pia. St Fransis of Assisi
Anajipikia mwenyewe, anatumia usafiri wa umma na pia alikataa kuishi jumba la kifahari na kuhamia kwenye kiji apartment cha 'kawaida'He looks humble, na ndio maana amechagua humble name pia. St Fransis of Assisi
Kitu kizuri kabisa ninachokiamini katika kanisa letu hili ni namna viongozi wanavyopatikana. Makanisa mengine ungeona kambi za wagombea zinatoana jasho. Huku ni so peaceful wakiongozwa na Roho Mtakatifu mpaka kiongozi anapatikana. I like this church. Hata speech ya Pope si za wanasiasa, kaongea machache tu basi. Laiti tawala za kidunia (za wananchi) nazo zingikuwa hivi ingekuwa bora sana. Kanisa Katoliki ni mfano wa kuigwa.
Angalau makanisa mengine viongozi wao hawachaguliwi na wanaolawiti watoto. Miongoni mwa makardinali waliokuwa kwenye uchaguzi wa papa benedict ni kardinali Keith O'brien wa Edinburgh Scotland. Wiki mbili zilizopita wakati akijiandaa kwenda kumchagua papa mwingine, au kuchaguliwa papa, skandali lake likaibuka kwamba aliwalawiti watoto wadogo ambao nao sasa ni mapadri. Akakataa kwanza, kisha baadaye akaomba msamaha. Ni wiki mbili tuu zilizopita. Google Cardinal Keith O'brien utapata habari zake.
Point yangu ni kwamba; kusema papa anachaguliwa na roho mtakatifu ni maoni tuu. Facts ni kwamba miongoni mwa wanaomchagua ni "Padeophiles" wafiraji wa watoto wa kiume.
Wafiraji wa watoto wa kiume na wa kike wamo hata kwenye ngazi za juu za Uislamu na Uprotestanti, na Upagani pia.