- Hapana atleast tutawaonyesha watawala kwamba we have an idea ya kwa nini tunawakosoa na baraza jipya, kwa mfano tuwaambie kama sio Pinda, nani kwa sasa anafaa kuliko yeye na amefanya nini hapo alipo cha kutufanya tuseme anafaa kuliko Pinda, ni ombi tu since tumeshambulia sana baraza jipya!
- Kwamba itasaidia nini? Then we need to close this JF's shop, kwani tunasaidia nini hapa anyways inaonyesha ni dalili ya kukata sana tamaa mkuu wangu, tusichoke Roma haikujengwa siku moja!
William.
Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-
- I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba Baraza jipya ni wale wale tu na kwamba kwa nini Rais ameenda nje ya Bunge kutafuta mawaziri watatu wapya.
- Sasa hebu Great Thinkers tuongee solutions, tupange baraza ambalo lingefaa kutokana na Wabunge tulionao sasa, tuwataje kwa majina na nafasi ambazo wangefaa sana kuliko wale walioteuliwa karibuni na Rais. Ndio njia pekee tunaweza kusaidia watawala kuelewa walipokosea, kuliko kulia lia bila kuwapatia solutions, for once tuanze kujifunza kuwa part of solutions badala ya kuwa part of the problem kwa kulia lia bila kusema what are solutions!
MUNGU AIBARIKIE TANZANIA!
William John Samwel Malecela.
Duh yaani wewe umepangua na wizara kabisa! It's called innovation JK style.Lusinde L = prime Minister
Maji marefu = sayansi na technology
John Komba = utamaduni na mapenzi
Dr Mwanjelwa = Afya
Chatanda = madini
Anne Kilango = Waziri wa mambo ya hovyo hovyo
Idd Azan = Waziri mambo ya Nje
Malima Adamu = Waziri wa nyumba na guest house
I'm coming back with full cabinet
Lusinde L = prime Minister

Mutuz,Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-
- I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba Baraza jipya ni wale wale tu na kwamba kwa nini Rais ameenda nje ya Bunge kutafuta mawaziri watatu wapya.
- Sasa hebu Great Thinkers tuongee solutions, tupange baraza ambalo lingefaa kutokana na Wabunge tulionao sasa, tuwataje kwa majina na nafasi ambazo wangefaa sana kuliko wale walioteuliwa karibuni na Rais. Ndio njia pekee tunaweza kusaidia watawala kuelewa walipokosea, kuliko kulia lia bila kuwapatia solutions, for once tuanze kujifunza kuwa part of solutions badala ya kuwa part of the problem kwa kulia lia bila kusema what are solutions!
MUNGU AIBARIKIE TANZANIA!
William John Samwel Malecela.
- ha! ha! ha! ha! ha! hii imenivunja mbavu sana mkuu wangu! ha! ha! ha! ha!
William.
Lusinde L = prime Minister
Maji marefu = sayansi na technology
John Komba = utamaduni na mapenzi
Dr Mwanjelwa = Afya
Chatanda = madini
Anne Kilango = Waziri wa mambo ya hovyo hovyo
Idd Azan = Waziri mambo ya Nje
Malima Adamu = Waziri wa nyumba na guest house
I'm coming back with full cabinet
Lusinde - Waziri wa Uhusiano,
Wassira - Wanawake Jinsia na Watoto,
Lowassa - Fedha,
Prof Maji Marefu - Afya.
TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
Lusinde L = prime Minister
Maji marefu = sayansi na technology
John Komba = utamaduni na mapenzi
Dr Mwanjelwa = Afya
Chatanda = madini
Anne Kilango = Waziri wa mambo ya hovyo hovyo
Idd Azan = Waziri mambo ya Nje
Malima Adamu = Waziri wa nyumba na guest house
I'm coming back with full cabinet
Lakini Bwana William, ni vigumu sana sisi wananchi wa kawaida kuonyesha ujuzi wetu zaidi ya watuawala kwa sababu tuna limited information kwenye maeneo mengi kuhusiana na huu uteuzi. Mathalani, kuna taarifa nyingi za kiitelijensia ambazo wateuzi wanakuwa nazo kuhusiana na hawa watu ambazo sisi wengine hatuna, hivyo hata tukitoa mapendekezo hapa, tunaweza kuwa tunafanya hivyo from the informed point of view- Hapana atleast tutawaonyesha watawala kwamba we have an idea ya kwa nini tunawakosoa na baraza jipya, kwa mfano tuwaambie kama sio Pinda, nani kwa sasa anafaa kuliko yeye na amefanya nini hapo alipo cha kutufanya tuseme anafaa kuliko Pinda, ni ombi tu since tumeshambulia sana baraza jipya!
- Kwamba itasaidia nini? Then we need to close this JF's shop, kwani tunasaidia nini hapa anyways inaonyesha ni dalili ya kukata sana tamaa mkuu wangu, tusichoke Roma haikujengwa siku moja!
William.
Lusinde L = prime Minister
Maji marefu = sayansi na technology
John Komba = utamaduni na mapenzi
Dr Mwanjelwa = Afya
Chatanda = madini
Anne Kilango = Waziri wa mambo ya hovyo hovyo
Idd Azan = Waziri mambo ya Nje
Malima Adamu = Waziri wa nyumba na guest house
I'm coming back with full cabinet
Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-
- I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba Baraza jipya ni wale wale tu na kwamba kwa nini Rais ameenda nje ya Bunge kutafuta mawaziri watatu wapya.
- Sasa hebu Great Thinkers tuongee solutions, tupange baraza ambalo lingefaa kutokana na Wabunge tulionao sasa, tuwataje kwa majina na nafasi ambazo wangefaa sana kuliko wale walioteuliwa karibuni na Rais. Ndio njia pekee tunaweza kusaidia watawala kuelewa walipokosea, kuliko kulia lia bila kuwapatia solutions, for once tuanze kujifunza kuwa part of solutions badala ya kuwa part of the problem kwa kulia lia bila kusema what are solutions!
MUNGU AIBARIKIE TANZANIA!
William John Samwel Malecela.
Wakuu wote JF, heshima mbele sana:-
- I mean toka Rais apangue Baraza la Mawaziri wiki iliyopita, kumekuwa na vilio vingi sana toka sekta mbali mbali za jamii na hasa wananchi na media kwamba Baraza jipya ni wale wale tu na kwamba kwa nini Rais ameenda nje ya Bunge kutafuta mawaziri watatu wapya.
- Sasa hebu Great Thinkers tuongee solutions, tupange baraza ambalo lingefaa kutokana na Wabunge tulionao sasa, tuwataje kwa majina na nafasi ambazo wangefaa sana kuliko wale walioteuliwa karibuni na Rais. Ndio njia pekee tunaweza kusaidia watawala kuelewa walipokosea, kuliko kulia lia bila kuwapatia solutions, for once tuanze kujifunza kuwa part of solutions badala ya kuwa part of the problem kwa kulia lia bila kusema what are solutions!
MUNGU AIBARIKIE TANZANIA!
William John Samwel Malecela.
Ha ha ha ha ha ha, HII NI BABU KUBWA. Watu kama wewe ni muhimu sana kuondoa presha na hasira za watu humu jamvini. Mbavu zinauma kwa kucheka. Anyway, issue ya William haikupaswa kujibiwa kwa matusi, kejeli wala hasira. We are also required to criticise contructively. Watu tunataka viongozi waje hapa kuleta hoja zijadiliwe, wapate mawazo mapya ya kuwasaidia kuleta maendeleo. Kama hali yenyewe ndo hii, nani atakuja? Pengine William katumwa kudadisi maoni ya wadau ili baraza lipanguliwe upya kabla ya bajeti. Nani anajua kuwa Williamu hajatumwa? Mi naona mwenye mawazo mazuri ayatoe tumsaidie. Mimi naona Waziri Mkuu anafaa kuwa Samweli Sitta kutokana na rekodi yake ya nyuma. Waziri wa Ulinzi na JKT awe Salim Hamed Salim (ateuliwe kuwa mbunge viti maalum kwanza). Mwingine aendelee.Lusinde L = prime Minister