Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
Pasco, u already know that there are lot of allegations that Mafisadi they are behind restoration of this government right from Election Process and now Speaker. Anna may not know, but that is a fact behind the scene.
That being the case people like Masha; Batilda; January will come back.
Of highest interest ni kuona Lowassa atapewa nini? Kama kweli anayo dream ya kugombea 2015, lazima atafute the stepping stone. JK cannot say no to what EL wants. That we know 100%.
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.
Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.
1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa
PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha
Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye,
cost implication na sio performance.
list inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Elinasi, kama Sitta amechinjiwa baharini kwenye uspika kwa tuhuma an sababu zozote na ile statement ya upendeleo kwa wanawake ni kisingizio tuu, basi Sitta hapewi chochote, atabakia Mbunge tuu.samweli sitta,lazima apoozwe kwa hila za kumtosa kwenye uspika,likely akapewa wizara ya ulinzi,baada ya masha kuangukia pua
............. RA wants EL for Primiership. As of the day b4 yesterday, Mr Six refused to be deputy PM under EL!!!
By the way, members, did Anna Makinda just ... and I mean just... woke up n decided to give speakership a shot??? nay, nay nay!! Three fisadis, RA, EL and that TICTS guy are very well entrenched in the process. the lady happens to be developing a real estate somewhere, that thing we call apartments, and as already alleged, she is in debt. Guess who came in dangling that carrot to rid of her financial burden??? Need I name. No and didnt think so. Whereas the lady had no intention to vie for that office at the beginning, she did a turncoat, went on to challenge Mr Six! her apartments would be completed minus a nagging bank loan, huge one at that.
EL, RA, That TICTS fella, et al are having quite a laugh!
Mark James Mwandosya, huyu bwana ni msomi mwelewa, na siyo fisadi.
Katika serikali ya CCM chochote chaweza kutokea. Baraza la mawaziri siyo chochote kwa sababu wanaoongoza nchi siyo hao. Wanaochaguliwa na kuteuliwa ni vivuli tu vya wanaoongoza nchi. Niwataje viongozi wachache kwa majina na kwenye mabano nimewaweka wale ambao ni vivuli:
1. Rais wa nchi:Rostam Aziz ( Jk)
2. Waziri Mkuu:Edward Lowasa(Pinda)
3. Spika: Andrew Chenge (Anne Makinda)
kwa uchache hao wawili wanatosha.
Nani asiyejua katika nchi hii kuwa Jk hawezi kusema kitu mbele ya Rostam na Lowasa? Ni nani asiyeweza kujua kuwa Andrew Chenge hakuwa na nia ya kugombea nafasi ya uspika bali lengo lake ni kumharibia Sitta ili wampenyeze mwakilishi wa mafisadi? Andrew aliwezaje kusafishwa na TAKUKURU wakati angombea uspika lakini Uingereza wanaendelea kumbana kwamba bado suala lake halijaisha? TAKUKURU ni chombo kilicho chini ya ofisi ya Rais kwa hiyo wanayoyatamka yana baraka zake na kwa hiyo ni uamuzi wa mafisadi. JK atajitenga vipi na mafisadi wake?
Kwa hiyo tusiwaze mno baraza la mawaziri la serikali ya CCM bali tutegemee ni mafisadi wepi wataingia, wana unafuu gani katika ufisadi au ni wawakilishi wepi wa mafisadi wataingia.
Mungi, ni kweli Prof. Mwandosya na Magufuli ni wachapa kazi hodari. Kwa vile uchaguzi wa Makinda ndio turufu ya kwanza kuelekea 2015. Katika kuzichanga karata, Prof. Mwandosya na Magufuli, wanaweza kuonekana threat na kiwingu cha njia nyeupe kwa mgombea wa timu ya mafisadi.Mark James Mwandosya, huyu bwana ni msomi mwelewa, na siyo fisadi.