Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 858
- 508
jamani, mwaka unaisha huu na mawazo yanaanza kufifia kwani kichwa kimechoka balaa. Naombeni kwa mwenya wazo jipya la biashara animwagie kwa kuanza mwaka 2012 na mpya tafadhali.....
Kunakitu tunashindwa kuelewa kuhusu Aidia ya Biashara.
- Mkuu wazo la biashara lilo bora kabisa linatokana na wewe mwenyewe, Wazo la biashara si kitu cha mchezo, si kitu simple
- Sijajua wewe unania ya kuanzisha biashara aula,
- Mkuu kuna njia nyingi sana za kutafuta wazola biashara,
1. Kusafiri mara kwa mara
2, Soma magazeti kwa wingi hasa hasa yenyemakala za uchumi, kule utakuna na mambo mengi sana kuna opportunity nyingi sanana kupitia zile opportunity unagenerate Aidia
3. Soma Vitabu vyenye muelekeo wa biashara
4. Angalia television hasa kwenye vipind vyenyemuelekeo wa uchumi na baishara
5. Mitandao ya interenet hapo unaweza kutana navitu ukaunganisha ukaja na Aidia ya kufa mtu
6. Kuna Organization nyingi sana duniani huwazinaratibu Business planing competiotion hapo utakutana na kitu
WAZO LA BIASHARA LINA HITAJI KUUMIZA KICHWASANA, LAZIMA UWE NA MAONO