englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Itabidi asipike humo dani wala kuwasha chochoteee!!!!Na alikuwa na kazi ya kuzikusanya hizo chupa kha...
Hata mi pia naona!Itakua alitoa oda kiwandani empty bottles mana zaonekana safiii si za kuokota
Mbona kijijini kwetu watu wanapika kwenye nyuma za nyasi.Itabidi asipike humo dani wala kuwasha chochoteee!!!!Na alikuwa na kazi ya kuzikusanya hizo chupa kha...
Siajabu nyumba moja ikishika moto kijiji kizima kinateketea!!Mbona kijijini kwetu watu wanapika kwenye nyuma za nyasi.
Siajabu nyumba moja ikishika moto kijiji kizima kinateketea!!
Unafanya masikhara na moto+nyasi+upepo=disasterNyumba za kijijini kwetu haziko kama zile za Tandale,ambazo kila mtu kajenga barazi kwa mwenzie,kwetu kila mtu anajenga kwenye shamba lake.
Unafanya masikhara na moto+nyasi+upepo=disaster
Hivi kwani msitu mzima unapowaka moto inakuwaje?
Sijabisha nasema kile ninachokifikiria ..nimeuliza kwani msitu mzima ukiwaka moto inakuwaje?Mkuu inaonekana wewe ni m,bishi simchezo hivi umemuelewa anamaanisha nin? Kuna vijiji vingine kutoka nyumba moja kwenda nyingine unafunga safari sasa fikiria mtu ana shamba heka 10 kajenga ktkt huo moto utafika vp kwa jiran?
Unafanya masikhara na moto+nyasi+upepo=disaster
Hivi kwani msitu mzima unapowaka moto inakuwaje?
Nakubaliana na wewe mkuu.shukrani kwa timu nzima ya adobe ps kwa kuendelea kuwezesha watu qwengine kufanya wenzao vichaa.
Sitaki kufa nikijiona na joto la dar likizidi hizo chupa zisije umuka!!Lakini wapo waloipendaa!!!Sijambo bibie mimi49, umeipenda nyumba?
Sitaki kufa nikijiona na joto la dar likizidi hizo chupa zisije umuka!!Lakini wapo waloipendaa!!!