ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sio kweli dar coach wana assemble๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Ndio, sisi tuna assemble mabasi, malori na hata magari madogo. Bado hatujafika pahali pa kuunda gari kwanzia mwanzo hadi mwisho, lazima tuimport malighafi. Hata hivyo sijui mbona unacheka na ninyi hamna hata kiwanda cha kuunganisha magari?