Hili neno kila zama na kitabu chake lina maana pana sana kwa sisi tulioanza kuzisikia hizo nyimbo na harakati zake tunapata ladha flan na kukumbuka zamani.
Maana tuliwaona hawa wasanii wakijipambanua toka uchanga wengi wetu tutakwambia mziki wa zamani ulikuwa bora sana ingawa kuna mbili tatu za sasa tunazipenda.