New boda boda bei chee, mkopo upo.

Wameunganisha lakini ni JIN YEE.
 
Raia wangapi wamepoteza maisha mali na hizi zinazoitwa boda boda? Nani anatoa leseni kwa hawa madereva? Je Wote wanaoendesha hizi boda wanakaguliwa mara kwa mara kuona wanafuata sheria? Nina wasi wasi na hawa ambao kwa njia moja au nyinginw wanaweza kuwa wanashirikiana na majambazi.

Je, serikali inasimamiaje usafiri bora kwa raia wake na mali zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…