kwa ukweli serikali isijaribu kuingilia uhuru wa mtu na imani yake,,,,,matibabu yao rasmi yamesindwa kumaliza kilio cha watu wengi ,hivyo wawaachie wachague matibabu mbadala ya bei nafuu,,,inatakiwa iwashauri watu waende kwa awamu kuepusha msongamani kama imeshindwa kuweka mahitaji ya uma kwa wakati mwafaka,,,,,