New, Ascend Y 300...All lines inapatikana

New, Ascend Y 300...All lines inapatikana

magesa77

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Huawei Y300,mpya kabisa, zipo mbili, zinapokea line zote, zina flip cover ya leather, zote zipo kwenye mabox yake na kila kitu chake kama vile charger, USB cable, screen protector na 4 GB memory card, zinapatikana. Kwa mawasiliano ni PM au piga 0713478675.
 
Hapana ndugu hiyo sichukui!
kaka bei yako iko juu sana mana pale tigo wanaziuza lak na tisin ukijumulisha na ya kuifngulia hazd lak mbil unabikir mwenyewe. mmmpyaa
 
Sawa kaka we kachukue tu hiyo ya Tigo, hakuna shida, yangu haijanunuliwa Tigo.
 
Huawei Y300,mpya kabisa, inapokea line zote, ina flip cover (mpya) ya ngozi, ipo kwenye box lake, charger, cable na 4 GB memory card, inapatikana kwa laki mbili na nusu. (250,000/= tshs.) Kwa mawasiliano ni PM au piga 0778 101177.

ndugu hizo flip cover itazipata wapi... nashida kweli
 
Kariakoo kaka kuna duka moja pale msimbazi ( Uhuru baada ya round about) unaingia kushoto japo sikumbuki jina la duka.
 
Ameishapatikana kaka, analeta mshiko muda si mrefu!
 
Back
Top Bottom