Habari za asubuhi,
ndugu wapendwa wenzetu mliobahatika kwenda scoan na kupata newanointing water, naombeni a single spray kwenye maji yaliokwenyechupa yangu maalum, afadhari yeyote anayeweza saidia kumpata any recently arrival from scoan atakuwa msaada mkubwa sana and thenew annointin g graces will double.
Thanks.