Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamvi. Ushauri kwa m2 anayejua aina nzuri ya raptop na specification zake azipost kwani nahitaji a new and brandy computer nzuri bei isizidi 650,000 na iwe na screen pana.mwenye picha za hizo computer azi2pie nizione na iwe ni dsm