lycan31211
Member
- Aug 13, 2012
- 13
- 3
majina yenyewe haya hapa ya previous lonee file:///C:/Users/lycan%2031211/Documents/Downloads/Documents/LOANS%20SUBJECT%20TO%20VERIFICATION.pdf
Watu kama ninyi,,,nikiwa raisi nitakupa ukuu wa mkoa wa MWANZA,,,nakupenda sanandugu nimejitahidi niwawekee majina lkn imeshindikana jitahidini mdownload 2 kwan page zake zko 2079 imeniwia ngumu hongera mliofanikiwa kupata vyuo na KUMBUKA KUNA MAJINA YAMERUDISHWA TCU SO WATAYATOA KABLA YA TRH TAJWA HAPO JUU, gud day
majina yenyewe haya hapa ya previous lonee file:///C:/Users/lycan 31211/Documents/Downloads/Documents/LOANS SUBJECT TO VERIFICATION.pdf
Daaaa mwana jina langu lipo kwenye hiyo list, na wamenipa 100% hivi nikitazama gharama za course husika, sasa kinachofuata ni verification bodi? Na mwisho ni tar ngapi?