New Age: Dini mpya ya ulimwengu




Ngoja nitakuja baadaye.
 
SHETANI HAJAWAHI KUTESA MTU.
TATIZO NI KUTOKUJITAMBUA
UKIONA UNATESWA NA SHETANI,BASI WEWE NI MPUMBAVU
 
Huu Ndio mwisho wa dunia wenyewe
,vibaraka wa mpinga kristo wameshatia timu
 
Namaanisha huyo huyo anayeitwa BWANA_ambaye wakati anaumba hakuwa na mshauri yeyote

Yeye bila shaka ndiye shetani mkuu huyo mwengine geresha tu_umenipata..?

ManchoG
Kama naziona imani za watu zinavyo pataTabuu Sana na kuchakaa vibayaaa
 
Hizo mambo nizijaribu sana sijui kutoka kurudi, hizo mambo naona hazina tofauti na uteja yaani nilale ushirombo alafu nitoke niende Toronto usingizini kisha nikiamka niko hapo hapo, aisee bora Ndum kwa kweli kuliko hayo mambo yanavuruga akili
kabla hujafika ushilombo kuna njia hapo ya kwenda mwabomba machimboni mkuu nimekaa mitaa hiyo sana enzi hizo
 
Kati ya wakristo na waislamu nani anaabudu Mungu wa kweli ? kabla atujaanza kumpa lawama shetani
 
Mh meditation inahusiana na mapepo?bl
Mbona hata hayo makanisa ya kipentekoste hufanya meditation bila kujua?
Ile kuabudu hadi mtu anapoteleamo ni nn?
Ndiyo hizo hizo meditation, na wakristo weengi kwenye hizo kanisa wanafanya kwa kujua au kwa kukosa maarifa.
 
kuna sehemu huyu jamaa aliwahi kusema meditation haifai kwa waaminio. Mshana Jr
Yupo SAHIHI,
Kwa waaminio msingi mkuu wa mafundisho yao ni Neno La MUNGU (Biblia)
Endapo katika biblia hicho kitu hakipo Basis Ngumu kuaminika
ki,Ufupi Tunapima Jambo katika msingi wa Neno La MUNGU (Biblia)

Na Kwa Inshu ambazo Ni Ngumu Basi.Roho Mt huwa anatusaidia
 
Kati ya wakristo na waislamu nani anaabudu Mungu wa kweli ? kabla atujaanza kumpa lawama shetani
Waislamu wao wana mungu wao na wakristo nao Wana MUNGU wao.

Ni upumbavu na ujinga kusema waislamu na wa Kristo Wana AMINI katika Mungu 1 jibu Ni Hapana.

Mungu wa wakristo anaitwa Yahweh/ El Shadai/Jehovah/Mungu Mkuu

lakini,Mungu wa Waislamu anaitwa
Allah!.

Fuatilia baadhi ya Nchi na vikundi huwa wanasema
"There is no God,There is Allah"

Wakimaanisha "Hakuna Mungu,Kuna Allah"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…