Umeona eeeh, ni sawa kabisa na mtu kukaa akiamini kwamba akifa kuna siku atafufuka...niuchizi uliopitiliza mammae!
Hahaha Sawa mkuuSawa Master, nitaufanya kuwa nondo inayofata nitajaribu kuiweka simple kwa sababu ni mada ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijaribu paka nikaweza ukiwa muoga kamwe autaweza kwasababu autaweza kuvumilia mwili ukifa gazi utazani ndio unakufaAisee.. astral projection nilivokua nahangaika kui master had leo nimeshindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
naaam boss
Nilijaribu paka nikaweza ukiwa muoga kamwe autaweza kwasababu autaweza kuvumilia mwili ukifa gazi utazani ndio unakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah my ribsHizo mambo nizijaribu sana sijui kutoka kurudi, hizo mambo naona hazina tofauti na uteja yaani nilale ushirombo alafu nitoke niende Toronto usingizini kisha nikiamka niko hapo hapo, aisee bora Ndum kwa kweli kuliko hayo mambo yanavuruga akili
Hahaa hebu mkuu toa neno lolote hapa .... Unakubaliana na hoja za mtoa mada kweli !?Ha ha ha Ushirombo masankuloni....kumbe upo mitaa hiyo mkuu..
Hahaha ....safi sana ...eti wanaambiwa nyakati zimeisha ..mbaya zaidi waweza kukuta hata binaadamu aliyeishi miaka 2000iliyopita alikuwa anaamini hivi hivi kuwa nyakati zimeisha lakini ndio kwanza watu wanazidi kufa nakuzalianaJibu swali_nyakati za kwanza ulikuwepo..?
Utoto ni huo wa kuotaota nyakati zimeisha
We unajuaje kama labda ndio kwanza tunaanza..!?
ManchoG
Hvi, hizo dini ulizozitaja kuwa kiini chake ni shetani umewahi kuzisoma hizo dini ukajua mafundisho yake vizuri au ni hearsay? Unaweza ukahisi wenzako na dini zao ni mashetani kumbe mambo yakawa kinyume.
Hahaha nasubiri MajibuMungu aliye hai yupi? Yeye alitokea wapi, kwani kuna wengine waliokufa?
Ni dini gani inakupeleka kwa huyu Mungu aliye hai wakati yeye mwenyewe hakuna dini aliyoshusha kutoka ili tuiabudu.
Ni hukumu gani atatupa sisi tuliokengeuka na kukataa kanisa na misikiti. Wanasema tutachomwa moto milele, kuna moto gani unaweza kuchoma roho?
Unasema hii dini mpya asili yake ni shetani inatupeleka mbali na Mungu, kwani hujui kuwa siku nyingi tuko mbali na mungu shetani ndiye mtawala wa hii dunia? Jehova na kina Alah washaiacha siku nyingi hii dunia wako huko kwenye solar system ingine na shughuli zao.
Kwanini huyu Mungu aliyetuumba atupe akili ndogo kiasi kwamba tushindwe kujua chanzo chake yeye au mwanzo wake maana kwa akili alizotupa tunajua hakuna kiti kisicho na mwanzo wala mwisho, je mwisho wake yeye ukifika sisi viumbe alivyotuumba tutakuwaje ?
Huyu jamaa kapuyanga sana .... yaani laiti kama angelijua kuwa dini za budha na hindu ni dini enyeji duniani basi nadhani angekubaliana. Nami bila shaka kuwa uislam.na ukristo ndio new Ages alizozisema ..dini hizo zinazaidi ya miaka 4000 wakati dini zake za uislam na ukiristo ni za juzi juzi tu kama ukiristo ni miaka 2000 uislam hata miaka 1800 hauna...ila kwakuwa haujui ngoja tumuacheUnaongea kuhusu new age and yet unasema chanzo chake ni ubudha na uhindu na chinese traditions
Unajua how old are those civilization?
How old are the Christian and islamic religion?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahh yeahh ....haiwezekani uwaumbe binaadamu na wanyama uwaumbie shetani na kila aina ya mabalaa magonjwa vipunga vita na matetemekoNamaanisha huyo huyo anayeitwa BWANA_ambaye wakati anaumba hakuwa na mshauri yeyote
Yeye bila shaka ndiye shetani mkuu huyo mwengine geresha tu_umenipata..?
ManchoG
IndeedKuhusu mambo ya cults naweza kukubaliana na wewe. Lakini ulipotaja Buddhism na Hindu etc hapo ndo ninapo pingana na wewe. Hizi dini kazisome vizuri sio za kishetani kama ulivosema.
Na kuhusu Biblia na Quran kuwa ni 100% chanya kwa binadamu sio kweli kwasababu vinasababisha sana migogoro na vurugu zisizo na msingi.
HahahaUmeona eeeh, ni sawa kabisa na mtu kukaa akiamini kwamba akifa kuna siku atafufuka...niuchizi uliopitiliza mammae!
Ha Ha Ha Ha Ha........Huyu jamaa kapuyanga sana .... yaani laiti kama angelijua kuwa dini za budha na hindu ni dini enyeji duniani basi nadhani angekubaliana. Nami bila shaka kuwa uislam.na ukristo ndio new Ages alizozisema ..dini hizo zinazaidi ya miaka 4000 wakati dini zake za uislam na ukiristo ni za juzi juzi tu kama ukiristo ni miaka 2000 uislam hata miaka 1800 hauna...ila kwakuwa haujui ngoja tumuache
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza niambia kitabu gani katika biblia ya vitabu 66, 73, 81 na 86 wameandika Mungu au Manabii au Mitume walianzisha dini au madhehebu?Haya maneno yanaukweli maana kwenye vitabu vya Dini zote kubwa hakuna haya mambo sijui Astra projection, meditation wala hatukusikia mitume km walikua wanafanya mambo haya
Sent using Jamii Forums mobile app