New Age: Dini mpya ya ulimwengu

Acha kutupotosha, ni heri dini ya New age kuliko ma Alshabab na Antibalaka wanaochinja watu kama kuku kwa kisingizio cha Mungu wa kweli. Ni upuuzi mtupu kujifanya mfia dini zilizoletwa kwenye majahazi na hao chinjachinja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmepitia comment naona mtoa mada anashambuliwa Sana.Mtoa mada Ana hoja ajibiwe kwa hoja na sio kejeli na dhihaka.Leteni hoja kwa hoja tubaini ukweli wenu na wa mtoa mada.Other wise tutaamini mtoa mada ni mkweli kwa 100%.Mshana uje huku uthibitishe hizo meditation zenu mnatumika.
 
Nitajaribu Kufafanua Mkuu. Lakini ombi langu ni Moja. Kama utanipa elimu kuhusiana na Reptilians nami nitakufafanulia hilo fumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ishu ya reptilians naimani imezungumzwa sana humu JF na watu kama kina Eiyer na mkuu Juve2012 ni ishu pana zaidi kama unavyofahamu nashindwa nianze kuizungumzia wapi kwendana na mapana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mambo nizijaribu sana sijui kutoka kurudi, hizo mambo naona hazina tofauti na uteja yaani nilale ushirombo alafu nitoke niende Toronto usingizini kisha nikiamka niko hapo hapo, aisee bora Ndum kwa kweli kuliko hayo mambo yanavuruga akili
Umeona eeeh, ni sawa kabisa na mtu kukaa akiamini kwamba akifa kuna siku atafufuka...niuchizi uliopitiliza mammae!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…