Never visit rich people

Ths is another, nyingine na ile ya Padri na muungamaji
".......nikaangalia huku na huku nikagundua tupo wawili tu nikamuua....." zmenifanya nicheke hadi machoz.
 
Huu uchoyo tu bwana aarrgghh¡ì*0†7:-*0„6
 
Ananzingua tu, hivyo vitu hata havipo. Alijua aktachoka aondoke bila kunywa chochote. Uchoyo mtupu.
 
Ananzingua tu, hivyo vitu hata havipo. Alijua aktachoka aondoke bila kunywa chochote. Uchoyo mtupu.
 
haaaaa haaaaaaaaaaa ngoswe you have made my day, thanks alot
 
hizo ndo za mchaga aliyeendelea? sijui mentor yu wapi mentor na "Irere lya Isembo ni ndeu" zake.
 
Wewe Ngoshwe na wenzio wote mnacheka tu. Mbona sisi walevi wa chai tunazingatia sana ladha na hizo aina zote zipo. Waliokulia kwenye mashamba ya kahawa vilevile tunajua jinsi ya ku-toast beans ili iwe na quality/taste tofauti!

Anzia hapa: Guide to Varieties of Tea

 
Dah... Walau nimemaliza siku kwa kucheka inanikumbusha ile ya pedeshee wa kihaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…