hahahaKweli kabisa secretarybird na ELI COHEN unaweza kuwaona watu wa masihara ila kiukweli tuna madini kuntu.
💯
Sana mkuu, kamwe sijawahi kumdharau mtu yeyote hapa duniani. Na nikiona watu wananidharau basi nawaacha kama walivyo maana Mimi ndiye ninayejijua vizuri kuliko wao.Kweli kabisa secretarybird na ELI COHEN unaweza kuwaona watu wa masihara ila kiukweli tuna madini kuntu.
💯
Ndege huyu huyu nimjuaye ??Sana mkuu, kamwe sijawahi kumdharau mtu yeyote hapa duniani. Na nikiona watu wananidharau basi nawaacha kama walivyo maana Mimi ndiye ninayejijua vizuri kuliko wao.
Ndiyo maana yake 😎.Ndege huyu huyu nimjuaye ??
Vipi una kibao Cha Jollie deta uniwekee inboxNdiyo maana yake 😎.
Sina, labda niitafute.Vipi una kibao Cha Jollie deta uniwekee inbox
Aaaah fanya hivyo mzeee,Sina, labda niitafute.
🔥Aaaah fanya hivyo mzeee,