geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,312
- 1,786
Hata siku moja ukiwa kama mwanaume usije kuthubutu ku open up kwa mwanamke na kuonesha your soft side your emotional side, sababu mwanamke akigundua your insecurity akigundua your soft side, umempatia silaha ya kukuumiza nayo maishani atatumia hiyo kuharibu maisha yako, atatumia hiyo kukuangusha, atatumia hiyo kukufanya ujione you are not man enough.
Jambo moja unapaswa kutambua mwanamke anapenda strong man masculine man, lakini wanahitaji soft men kwa ajili ya kuwa control siku zote wanawake wanapenda wanaume ambao ni desirable wanaume hao ni strong man, tatizo la strong man ni wagumu kuwapata na hata ukiwapata ni vigumu kuwa control.
Strong man ni desirable moja ya weekness zao au tabia zao ni kutokuwa controlable, maisha ya mwanamke na strong man, hayana guarantee kabisa, moja ya technique wanazotumia wanawake ni kumtafuta strong man, kisha kumharibu kumtesa ki akili kisha kumtawala, wanafanya hivi hili ku establish koloni lao kuhakikisha kwamba wewe hautoki kamwe na kwamba hautoweza kumuacha.
Kitu kimoja wanawake wanashindwa kuelewa baada ya wao kufanikiwa kumtawala mwanaume wanapoteza ule mvuto ambao mwanzo walimuona nao, hivyo akitokea another strong man mwanamke anavutiwa naye na anahamia kwake na mzunguko huo unaendelea tena.
Ukiwa kama mwanaume na unapatwa na shida na some feelings bora hata upeleke kwa mama yako au ukalilie kwa mwanaume mwenzio, ukijiloga kumchukulia mwanamke kama mfariji wako kama mshauri wako katika maswala ya emotion na feelings unampatia mwanamke mkuki wa kukuchoma nao never show weekness to a woman, she will use it agains you, huu ni moja ya mzigo wanaume wanapaswa kubeba wenyewe.