Never say I love you...

Never say I love you...

Ha Ha Ha Lisa
Iko hivi Mwanaume hulia kifuani Mwanamke hulia machoni..
Hilo la kutendwa kama mnalipiza kisasi wafuateni wahusika.
UPENDO WA MWANAMKE UKO machoni NITAKUJUA nitakueleza..ila dont tell me lies I better be alone
=
Tetraaaaaaaaaaaaaaa!! Utajuaje kama nimekuja kwako kwa ajili ya kulipiza kisasi? maana nasi twajua ku pretend as if hakuna kitu nilikotoka. So inategemea na jinsi utakavyom treat huyo mwanamke, ukikaa naye vizuri kwa kumheshimu na kumpenda basi ujue naye atakupenda na yale machungu aliyonayo hatokulipizia wewe, mbaya ni pale utakapotaka kumnyanyasa, ndipo anakulipizia na yela aliyotoka nayo huko.
 
Typical Tanzanians. Tunasema ili kumridhisha mtu bila kumaanisha, and worse more; jamii inatutegemea tuseme hivyo. Baadhi wana laumu Ujamaa kwa hili!
MFN 1: jamaa yako anataka kukukopa pesa, na wewe unajua si mlipaji kbs; so badala ya kumkatalia live utamzungusha.
MFN 2: mpenzio kakuboa na unataka kumuacha coz you are sure is not gonna work btn you too; badala ya kumwambia it's over, utamchunia na kumkatia mawasiliano.
MFN 3: umekutana na mtu, kakusalimia "hujambo?"; badala ya kumwambia naumwa utamjibu 'sijambo' ilhali unagugumia maumivu.

Any way, tu waongo waongo n stupidly 'nice'.
Yaani leo my sis umemwaga mapwenti balaa naona hata like nilokupa haikutoshi!!!Yaani watu hawapo real to be honest...Kwangu mimi mtu kunipuuza na kunidharau its so much rude than kuniambia hey... siwezi kukutekelezea utakalo!Yaani mambo yapo so simple lakini watu wanacomplicate so much....Sijui ndo huruma za uongo!
 
Yaani leo my sis umemwaga mapwenti balaa naona hata like nilokupa haikutoshi!!!Yaani watu hawapo real to be honest...Kwangu mimi mtu kunipuuza na kunidharau its so much rude than kuniambia hey... siwezi kukutekelezea utakalo!Yaani mambo yapo so simple lakini watu wanacomplicate so much....Sijui ndo huruma za uongo!

inasumbua sana watu kutokuwa wawazi, inapoteza muda mali na opportunity kwa unafiki wa kijinga. Asante mwaya kwa reputatition comment and points.
 
::
Never say I love you
If you really dont mean it
::
Never talk about feelings
If they aren't there
::
Never hold my hand
If you plan to break my heart
::
Never look into my eyes
If all you do is a lie
::
Never say hi
If you really mean goodbye
::
JUST TELL ME,, YOUR HIDDEN TRUTH AS IT IS
I WILL LEARN TO CHERISH MY PRECIOUS TIME IN THE WORLD
=

Maneno mazuri hayo,tujitahidi kua wakwel maneno yetu yaendane na matendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom