Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
"Naogopa nikikwambia ukweli utanikimbia"Hayo ndiyo maneno yenu wanaume Tetra.Excellent,,hivi inakuaje mtu anashindwa sema kweli ya kumoyo wake?
"Naogopa nikikwambia ukweli utanikimbia"Hayo ndiyo maneno yenu wanaume Tetra.Excellent,,hivi inakuaje mtu anashindwa sema kweli ya kumoyo wake?
::
Kaunga
Huo mfano wa 2
Ndio unaumiza,,kama unathamini hisia za mtu ya nini kujibaraguza,,unamuweka Last alternative kama relationships ulizomo zitakwama.
Anyway nimekupata Kaunga
=
Nimejifunza kitu hapa
::
Never say I love you
If you really dont mean it
::
Never talk about feelings
If they aren't there
::
Never hold my hand
If you plan to break my heart
::
Never look into my eyes
If all you do is a lie
::
Never say hi
If you really mean goodbye
::
JUST TELL ME,, YOUR HIDDEN TRUTH AS IT IS
I WILL LEARN TO CHERISH MY PRECIOUS TIME IN THE WORLD
=
Kipi? Share nasi basi.
Ingekuwa kwa kiswahili ingekuwa pouwa sana!!
Typical Tanzanians. Tunasema ili kumridhisha mtu bila kumaanisha, and worse more; jamii inatutegemea tuseme hivyo. Baadhi wana laumu Ujamaa kwa hili!
MFN 1: jamaa yako anataka kukukopa pesa, na wewe unajua si mlipaji kbs; so badala ya kumkatalia live utamzungusha.
MFN 2: mpenzio kakuboa na unataka kumuacha coz you are sure is not gonna work btn you too; badala ya kumwambia it's over, utamchunia na kumkatia mawasiliano.
MFN 3: umekutana na mtu, kakusalimia "hujambo?"; badala ya kumwambia naumwa utamjibu 'sijambo' ilhali unagugumia maumivu.
Any way, tu waongo waongo n stupidly 'nice'.
::
Never say I love you
If you really dont mean it
::
Never talk about feelings
If they aren't there
::
Never hold my hand
If you plan to break my heart
::
Never look into my eyes
If all you do is a lie
::
Never say hi
If you really mean goodbye
::
JUST TELL ME,, YOUR HIDDEN TRUTH AS IT IS
I WILL LEARN TO CHERISH MY PRECIOUS TIME IN THE WORLD
=
Usimwache akate tamaa mwenyewe, mkatishe tamaa.
Duuuuu.............umetuchanaje!!!!
​sasa nikikwambia sikupendi si ndo itakua mwisho wa habari
Good; badilisha kauli "mwambie ukweli" sio kumkatisha tamaa.
::
Never say I love you
If you really dont mean it
::
Never talk about feelings
If they aren't there
::
Never hold my hand
If you plan to break my heart
::
Never look into my eyes
If all you do is a lie
::
Never say hi
If you really mean goodbye
Goodbye
::
JUST TELL ME,, YOUR HIDDEN TRUTH AS IT IS
I WILL LEARN TO CHERISH MY PRECIOUS TIME IN THE WORLD
=
Nakubaliana na wewe Tetra, kwa lugha rahisi ni vyema kuwa wakweli kwenye mahusiano na maisha yetu ya kila siku!
Unaujua ukweli? Unajua madhara ya ukweli? Mara nyingine ni bora kumwambia ugonjwa huu utapona kumbe unajua ana dakika mbili. (Matabibu watakuambia kuhusu hapa).
Let me share this, wakati nipo chuo girlfriend wangu alini cheat. Nikamuacha, akachanganyikiwa. Mitihani ilikaribia ikanibidi nimwambie uongo kuwa nimesamehe ili asome na nikafanikiwa. Siyo mara zote mkuu, inategemea.