Inaonekana unatumia nguvu badala ya akili. Kwanza nataka nikwambie hakuna vita ndogo wala kubwa. Vita ni vita.
Pia kama USA alishinda vita ya Gulf, mwaka 2003 arudi tena kufanya nn?
Unajua Wasomali walimfanya nini USA kule mogadishu? Au nayo ni vita ndogo?
U call them mbwembwe sababu hujui maana zake if u cud u cud zip yo fu.ckin mouth and wondering marekani atafikia lini hyo technology
Kabla ya kucomment u cud just take a minute and think
Those manouver are for dodging missiles wenzio wameadvance we unawaza kimaskini hvyo what ashamed dude
ni wapi humu imeandikwa kuwa hiyo ndege ni bora kuliko zote?Hv hicho ni kigezo pekee kinachofanya hiyo ndege vita kuwa bora kuliko zote?
.........labda dunia nzima tufe alafu tuzaliwe tena upyaNchi ya viwanda lazima tufike
sasa pumba zote za nini humu nchi yenu haijiwezi Kwa lolote then utadhan wewe ni mkuu wa kitengo fulani cha kijeshi Kwa nchii unayoizungumzia kumbe hata kutengeneza diode hujuini wapi humu imeandikwa kuwa hiyo ndege ni bora kuliko zote?
Tutafika tu iwapo mafisadi watabanwa na tukiwa wazalendo kwa nchi yetuSijui lini nchi yangu itafikia hapo?
Half jarbu kutmia lugha ya kistaarab bhas...jiheshim nikuheshimU call them mbwembwe sababu hujui maana zake if u cud u cud zip yo fu.ckin mouth and wondering marekani atafikia lini hyo technology
we nawe ndo walewaleI can see you're very much driven by emotion than facts..now lets go slowly..
Fact #1: Iraq war....did USA win the war?
Ans. big NO. The war is still going on.
Loser: USA.
Evidence: Republican lost election to Dem because American were tired of the number of death of their solders.
Fact #2: Gulf war..Do you really know how many contries were involved in this war? Which weapons were used? Unless you tell me germany, uk, french weapons are counted as USA. Nevertheless USA did not win the war outright Sadam survived for the next 13yrs or so and USA has to start another war i.e Iraq war to finish the unfinished war. Refer Fact#1 above.
Fact #3: Afghanistan war. If you were clever you wouldn't put that war as reference. Remember the war there is not over and USA is the biggest loser.
Fact #4: Six day war and Yom Kippur. It seems you don't even understand the secret behind Israel victory. So i wont go for it.
Now look here how the real men win the war:
Georgia vs South Osetia.
Outright winner South Osetia.
Crimea(Ukraine) vs Russia
Outright winner Russia
Russia vs Georgia
Russia crashes Georgia in five days
Russo-Georgian War - Wikipedia, the free encyclopedia
Abkhazi vs Georgia
Outright winner Abkhazia
Yemen Houth rebels vs Saudia Arabia n its allies
Winner Houth. They are now in control of 3/4 of the country
Hezbollah vs Israel 2006
Results..Hezbolla win
2006 Lebanon War - Wikipedia, the free encyclopedia
SU-30 Haina hio capability mkuuninakusamehe bure
moja kati ya targets za msingi katika vita huwa ni viwanja vya ndege za kivita kupigwa mabomu kwenye runways ili kuzuia ndege kukimbia kwa kasi na kuondoka kwenda kufanya mashambulizi. sasa kwa technology kama hii ya Russia, hii ndege inaweza kutoka straight kwenye hanger na kuruka pasipo kuhitaji momentum ya kuanza kumbia.......!!!!!!!!!!!!!!
Silaha alikuwa nazo Hitler wewe na alishikwa sehemu mbaya si you huyo toy makerWeka evidence ya vita ambazo zilihusisha silaha za US na Russia tuone nanin mbabe
me natoa mifano hapa
1.iraq war
2.gulf war
3.afghanistan war(mujahdeen against russian invension)
4.Six day war
5.yom kipur war
6.....
weka na wewe zako tuone sio kuongea porojo bila evidence
Vietnam warWe jamaa unaongea kinafki na kishabiki sana..yaani kwa kili zako hadi sasa hivi unasema iraq war U.S walishindwa?
kichekesho cha mwaka,halafu ulivyo ****** unasema hoyuth rebel wameshinda vita yemen,wakat still war is going on..
1.Kichwa maji unataja eti russia alishinda vita crimea,ivi kulishawahi tokea vita pale au ilikuwa referendum iliyopelekea crimea kujitenga peacefuly
2.vita zote za istrael walishinda kwa kutumia silaha za u.s against useless russsian arms..kama hutaki bas utakuwa na sabab zako either za kidini au za kishabiki zinazopelekea ushindwe ku accept the fact
3.umenitajia vita ndogo sana alizopigana russia,vita za kitoto
4.vita niliyokutajia kati ya Mujahdeen na russia ni enzi za cold war sio hii ya sasa ya hawa ma taliban..vita hiyo russia alikimbia vibaya sana kwa aibu ...silaha walizokuwa wanatumia mujahdeen ni kutoka U.S na walishinda vita against the powerfull ussr
5.Gulf war nimeitaja kwa sababu U.S ndio alichangia 70% ya silaha na kila kitu hadi steath bombers F-117 zilizoenda kuharibu infrastructure za radar za sadam.
6.mpaka sasa hajaweza kunishawishi ni ki vipi na ni wapi silaha za Russia zilishawahi kuwa best against U.S
silaha anazo turkey ww,waulize russia russia air forceSilaha alikuwa nazo Hitler wewe na alishikwa sehemu mbaya si you huyo toy maker
Acha porojo mkuu, katika nyanja ya Siraha Urusi yuko vizuri kila idara na sio nuclear pekee,Russia vita zote alizoenda against US arms kashindwa.we adi us anatengeneza mbadala wa f15 eagle huku haijawai kuangushwa kwenye mission na kutengeneza another ambayo ni 40 times stronger???
Russia ni nchi kubwa sawa lkn hana uwezo na nguvu za kijeshi kama US na russia anachojivunia ni only Nuclear weapons ambazo wote wanazo na putin mwenyewe anajua hilo ndo maana alipoulivzwa kama NATO wakija kuchukua back Crimea akasema hatasita kufungulia nuclear arsenal yake
Russia vita zote alizoenda against US arms kashindwa.we adi us anatengeneza mbadala wa f15 eagle huku haijawai kuangushwa kwenye mission na kutengeneza another ambayo ni 40 times stronger???
Russia ni nchi kubwa sawa lkn hana uwezo na nguvu za kijeshi kama US na russia anachojivunia ni only Nuclear weapons ambazo wote wanazo na putin mwenyewe anajua hilo ndo maana alipoulivzwa kama NATO wakija kuchukua back Crimea akasema hatasita kufungulia nuclear arsenal yake