Never loose hope, never giver up

Never loose hope, never giver up

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,154
Reaction score
40,946
Siku zote katika maisha yetu hatutakiwi kukata tamaa bali tunatakiwa kupambana hadi kufikia pale tulipotaka kuwa, tunatakiwa kupambana kwa kuwa hakuna ajuae kesho chini ya jua

Lolote linaweza kutokea kwa wakati wowote....wapo watu waliokuwa masikni wa kutupwa lakini leo hii wanaogelea katika utajiri kwa namna ambayo hawakuwahi kufikria maishani mwao....wapo watu ambao waliwakebehi wenzao kuwa wao wana uwezo kifedha, lakini leo hii tumeshuhudia anguko lao na tunawaona wakiteseka.

Katika ulimwengu huu usijaribu kumdharau mtu yoyote kwani kila mtu hapa duniani ana nafasi yake.....na ndio maana muumba akatuumba tofauti ili kila mmoja akae kwenye nafasi yake.......kila mmoja wetu ana stahili heshima si kwa rangi yake wala kwa uwezo wake kiuchumi na wala si kwa kimo chake bali kwa ubinaadamu wake.

pia tukumbuke mafanikio hayaji kama ndevu zinavyoota au nywele bali mafanikio hutafutwa kwa juhudi na maarifa huku ukifanya kwa bidii na malengo,, jambo la msingi ni kutokukata tamaa........
 
Attachments

  • QUITERS.jpg
    QUITERS.jpg
    10.2 KB · Views: 444

Hio sehem niloihighlight imenigusa!Kuna watu wanadharau sana katika dunia hii!Nakumbushia tu HUJAFA HUJAUMBIKA!!!Kuna malengo ya kila mmoja wetu kuwa katika hali alokuwa nayo...lakini hali hio haimpi nafasi mwanaadamu yoyote kumdharau na kumdhihaki mwanaadamu mwengine!Uwe na siku njema mkuu KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe mzuri, mkuu
 
Attachments

  • 1426496057008.jpg
    1426496057008.jpg
    16.9 KB · Views: 186
Hio sehem niloihighlight imenigusa!Kuna watu wanadharau sana katika dunia hii!Nakumbushia tu HUJAFA HUJAUMBIKA!!!Kuna malengo ya kila mmoja wetu kuwa katika hali alokuwa nayo...lakini hali hio haimpi nafasi mwanaadamu yoyote kumdharau na kumdhihaki mwanaadamu mwengine!Uwe na siku njema mkuu KikulachoChako
Na kwako pia mpendwa.....
 
Mkuu umenena binaadam tuna tabia ya kukata tamaa haraka sana. "Try and fail don't fail to try"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom