Never chase, let them come to you!

Never chase, let them come to you!

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
487
Reaction score
765
Hu ndio ulikuwa msemo wangu wakati nakua.

Nilikuwa mkimya sana. Sikupenda kutengeneza marafiki. Nilifikia hatua nachapa wanawake wanaojilengesha pekee. Nikaingia form six.

Sikuwahi kuchapa mtoto wa kike nikiwa five na six. Nilipofanikiwa kuingia Hall II, hapo kwa mkandala. Mwaka kwa kwanza ukapita. Mwaka wa pili kama kawaida yangu "Never chase, let them come to you!"

Pili mtoto wa kisingida akajaa akaja room akajifanya anashida na mimi maana tulionana canteen " pesa ilikuwepo kumbuka mimi sinaga marafiki, nasave more, naspend kwa mkono wa shati langu. Banking na biashara nilifungua hostel nimeajiri binti steshenari.

Huyu bint akawa na tabia niliipendaa pia, hakuwa na marafiki wengi, bali kuna wale aliosoma nao, man vita mtoto wa kitanga ji mtoto wa waziri mmoja, akawa anaona kama ni.ekosea vile ila yeye ndiye ananifaa, nika mtafuta tukatoka outing smart ambayo sio date. Nikamkonga moyo, akaanza kuchambana na Pili. Pili hanaga maneno mengi.

Ila Pili ni malaya balaa, anaweza gongwa room ya jirani na akaja ukamgonga na akahamia floor nyingine kugawa uroda. Yaani alikuwa malaya vhupi mkononi.

Miaka ikasonga, nina dem mmoja tu Pili. Pili aliinjoi na mimi niliinjoi. Yaani sex asb hadi jioni. Kuna kipindi mimba weka chomoa yaani mungu alitusamahe maana sio kwa kutubu tulitubu mno hadi akasema ole wako kisese tumesese. Kizazi kikipotea...nikala buyu maana najua maana yake...

Vyuoni hakuna mke mwaka wa 3 pale kibamba kwa mamaake, nikapitiq baada ya yeye kutangulia chuo, niliptia pale nibebe baadhi ya mizigo kulingana na makubaliano. Nafika kwanza nilipokelewa na matusi. Nikaitwa tuse ee bweee niliitikia kizembe maana sikutegemea, kichambo kile kilitokana na kuachwa.

Pili alinimwaga nikaangukia pua. Nikiwa mabibo ghetto, nikawasiliana na rafikia ake maana hakuwa akipokea simu. Sikupenda kukaa hostel tena bali yeye alipenda mno. Ila amenogeshwa na mwalimu mmoja wa singida. Nikazuga kuwa nimezila, nikawa mpole tena mama mzembe, nikawaona mara ya kwanza wameongozana, nikala buyu. Nikasema kama mwai naiwe....... nikazama hostel kwao. Nikamkuta pili, jamaa ake mpya msingidani. Nikasalimia, nikamuomba tuongee, alikuwa wanakula matumda wakanipa, sikumbuki nilikula au nikataa...

Hakukuwa na lamaana. nikaondoka.

Pili akaendelea na maisha yake mwaka wa nne nikawa nawaza, haya maisha haya ngoja nitafute wa kuishi nae. Maana nilishaanza kwenda kuwanunua sinza.

Baada ya kumaliza mhandisi nikapata kazi. Pili akanijia tena anataka turudiane. Big akaniambia kisese anagalia kuna magonjwa. Big alikuwa mwana sana. Big wakat nafanya uhandsi majengo,yeye alikuwa telecom kwa sasa anakula maisha kwa madiba.

Nikawa puzzled nikamla tena kavu. Nikajiona boysa sana. Maana hata pale kwenye kiharagw kuna unjano uyerrow colour nikawaza huyu jamaa inamaana alikuwa ansugua kwa mguu au kwa mashine kama hizihzi?

Wala hakukaa sana kwangu akasepa nikapotezea. Mazima. Tunaasiliana hadi.leo.

My take mwanvi mtoto wa kitanga namtafuta. Nioe mimi. Sina jiko, nahisi angekuwa wife material kuliko hiki nilichokiona. Ila analia kwenye kumi na nane,inaamsha mno.

Hapa katikati wake za watu ofsn na mtaani wamekuwa wakinisumbua sana. Niliamua kuwa na magari mawili. Tofauti Tofauti na tinted hatari. Mimi ni ndani ya 🚗 nyumbani ndaniya 🚗 ofsn.

Nmepunguza foleni. Ila Never chase, let them come to you!

however to change frequency

"Drama lovers, gather around—I don’t care about insults today. Say whatever you want; I just need to get this off my chest. This girl really tormented me. It got to a point where I couldn’t study or sleep, and my problem of ‘Never chase, let them come to you!’ left me feeling like a loner.

I once had a Chaga girl who loved me deeply. But I realized that a relationship between two Chagas wouldn’t work—eventually, we’d both have to take our financial accounts to Moshi, and that would lead to endless competition.

She was extremely well-mannered, always ready like a player on the field. She would even bring me a chair to sit on—imagine a university student bringing me a chair in the hostel! That girl had an unbelievable sense of respect. But I thought, No, this isn’t for me, so I let her go.

Vivian was a kind-hearted person. Unfortunately, she was in a relationship with a guy studying to become a priest, yet she loved me deeply. Whenever he bought her gifts, she would bring them to me instead.

This world is strange! I distanced myself because I felt like I was wasting her time, plus I wasn’t really attracted to her body shape.

Vivi accepted it and moved on. And I was left with my own madness because, as men, we don’t overcomplicate things—it’s just about eating, handling business, and living life.

Pili, really tormented me. One day, I suspected that she had an abortion. We had been apart for months, so how did she suddenly get pregnant? Then, just like that, she got rid of it.

From that moment, I knew she wasn’t the one for me either."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom