Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Habari za saa hizi wanajukwaa wa MMU,
Hivi kuna uwezekano mwanaume mwenye umri ulozidi miaka 30 awe hajawahi kupenda?Kwa uelewa wangu hata yale mapenzi ya utotoni ni mapenzi pia ijapokuwa hayachukuliwi serious na hayapewi uzito kama ya ukubwani.
Kuna tofauti gani ya kumwambia mtu nakupenda lakini sijafall kwako?
Huyo mtu utakuwa unampenda vipi kama rafiki tu au kama ndugu?
Karibuni
Cc Eli79 Mkoroshokigoli xiexie The Boss Himidini Blue G Vaislay Ennie badiebey Isumbwile siafu dume BAK farkhina Ablessed Blessed Heaven on Earth Nyani Ngabu ICHANA na wengineo