Network inapo sumbua maujanja haya hapa.

acha uongo unaona kabisa hiyo ni FB halafu unasema ni JF ushindwe..
 
Duh,jamaa hafai kuishi uswazi kwetu,kila siku atakuwa anatafuta network
 
picha nzuri...ila umetudanganya...naona kitu cha fb hapo afu unasema Jf!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…