Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,722
- 6,593
Hata lie nimehisi hivyoIsije kuwa jamaa amekugongea demu wako.. Ndo umeamua kuja kumvhafua huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata lie nimehisi hivyoIsije kuwa jamaa amekugongea demu wako.. Ndo umeamua kuja kumvhafua huku
😳😳😳
Mkuu huyu ndio huyo VC kizuka . aliyekuwa anapelekwa mputa na ndugu Netho. Ukisoma vizuri hapa utaona wanaokiua hicho chuo ni Netho na mtoa mada. Tatizo Netho anaonekana kunemeka zaidi.Nina maswali kadhaa kwako;
Je, wewe ni private investigate company uliyetumwa kuchunguza nyendo za huyo jamaa? Kama sivyo imekuwaje uwepo kila mahali alipopita huyo jamaa na kushuhudia kila kitu alichokifanya kila alipoenda?
Ni mpelelezi au mwandishi wa hadithi tu anayeweza kuyaandika hayo katika mtiririko ulioweka lakini mtoa shutuma wa kawaida kamwe hawezi, yete angejikita eneo fulani tu either pale MMU au SAUT au kwenye magari. Lakini si mpaka airport au ofisi za TCU dar na kuwaacha wenzake kwenye mgahawa na yete kwenda kuzurura kwenye korido za TCU