Neti za Mbu na 'HATARI' Yake!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Nilitembelea familia fulani, lakini katika maongezi tukaishia kuongelea suala la Neti za mbu zenye dawa maalum(viwatilifu) inayodumu kwa miaka 3 hadi 5, maarufu kama neti za George Bush.

Huyo mwenyeji wangu alinambia kuwa hathubutu, na hatajaribisha kutumia neti za mbu zenye dawa, akidai kuwa anajua kwa uhakika kuwa zimeletwa Africa na Wamarekani kwa lengo la kupunguza nguvu za uzazi kwa jinsia zote(ke na me) kwa taratibu sana, lakini pia kuleta hali fulani ya uzezeta, in a long-run, na kuwa WAZUNGU HAWAZITUMII KABISA, na kuwa kwao hawatumii viwatilifu!

Akaendelea kueleza kuwa Wazungu hawa ni wajanja sana, wanaona fedheha sana kwa Africa kuwa na malighafi nyingi namna hii, na hivyo walichofanya ni kubuni utaratibu wa kuwadumaza akili polepole na hatimaye ndani ya miaka takriban 50 ijayo, basi kizazi chote cha Africa kiwe na mtindio, na waweze kujiingilia Africa kama kwao na kuchukua kila kilichobaki wakikisombea kwao!
Na kwa kukazia hilo, alisema Neti hizi ni 'FOR AFRICA ONLY!'

Lakini mbali ya huyu jamaa, kuna sehemu kibao tumezisikia kwenye newz wakizitumia hizi net za Bush kwa uvuvi au kama chekeche, madai yao ni kwamba zinaua nguvu ya uzazi.
Wakuu, hizi ni kama stories, lakini huenda kukawa na substance ndani yake!...Je kuna anayejua content ya hiyo kemikali inayowekwa, huenda na maelezo kidogo ya kuridhisha?

Nawasilisha kwa mjadala.
 
Kama sijakosea kule Kagera kuna kimama waligoma kutumia kwa sababu wazee walikuwa hoi kwenye shughuli.

Ngoja tusubiri wataalamu wa haya madude. Ila issue kubwa ni kwamba wazungu si kwamba wanatupenda sana ndio maana wanatusaidia. Wako na interest zao tu.
 
Kama sijakosea kule Kagera kuna kimama waligoma kutumia kwa sababu wazee walikuwa hoi kwenye shughuli.

Ngoja tusubiri wataalamu wa haya madude. Ila issue kubwa ni kwamba wazungu si kwamba wanatupenda sana ndio maana wanatusaidia. Wako na interest zao tu.
No free lunch in America!

Wazungu hawa wana nia gani?

Labda nianze kwa kutoa uzoefu kuwa total effect ya neti hizi kwa ujumla si kubwa kwa kuangalia mzunguko huu:!
Unaweza ukawa unalala kwenye neti, lakini umeshaumwa na mbu jikoni, sebuleni, Bar, kwenye matembezi au sehemu yoyote!..
Hivyo solution nzuri kabisa ya kutukinga na Malaria ilikuwa ni kufanya kama walivyofanya wenyewe huko America, ambapo waliteketeza mazalia yote ya mbu , na kuangamiza kizazi chake kabisa kwa aerial spraying...Mzizi wa tatizo hatujaugusa, tunashughulikia matokeo kwa kugombania neti zenye sumu!..
 
mmmmh........nasikia pia zinadhuru wamama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano......zinasababisha wazae watoto walemavu na hao walio wadogo ndio wanaathirika kuanzia hapo
 
Mi kwangu kuna AC bwana, msamiati neti haujaingia kwenye kamusi yangu bado!
 
tanzania.gif







Tanzania's leadership is aggressively working towards being one of the first sub-Saharan African countries to provide malaria prevention and treatment to all its citizens. Malaria No More is assisting leaders in this landmark effort by providing comprehensive support through its signature programs – the Zinduka! campaign, technical assistance, LLIN distributions, global advocacy – that attack malaria on multiple fronts and helps Tanzania reach the 2015 goal of malaria death elimination.












Tanzania Cries Zinduka! ("Wake Up!") to Malaria


As in Senegal, Malaria No More and its partners have launched a bold, on-the-ground initiative Zinduka! Malaria Haikubaliki ("Wake Up! Malaria is Unacceptable" in Kiswahili). The campaign works with partners in the media, entertainment industry, government and private companies to create a culture of net usage, testing and treatment.

Tanzania Net Distribution


In 2008 and 2009, Tanzania is implementing a national campaign to cover every child under 5 with a long lasting insecticide treated net.

Beauty with a Purpose
September 24th, 2010
This past weekend, 30 Tanzanian beauties competed in the Miss Tanzania 2010 pageant, a popular live televised event that included notable mentions of the Zinduka! Malaria Haikubaliki Campaign and a performance by Zinduka! Goodwill Ambassador Mwasiti.
 
halafu hzi neti zinakawaida ya ku-expand muda wa usiku na mbu wanapenya wanakunyonya damu kiulaini,kweli malaria haikubaliki
 
dah.mimi i never use net.n i nvr gonna use net.just Ac n fan..wazungu wawepe bure bila malipo?we need 2 thnk b4 we act.the good thng,cku hizi watu wanaelimika na wanaendelea kuelimika.
 
PK sorry giza saa hizi, sikuona vizuri heading, nilifikiri 'nyeti za mbu na asali zake'. I humbly apologize.
 
dah.mimi i never use net.n i nvr gonna use net.just Ac n fan..wazungu wawepe bure bila malipo?we need 2 thnk b4 we act.the good thng,cku hizi watu wanaelimika na wanaendelea kuelimika.
Kuna swali zito sana hapo kiongozi!...Naombea wajitokeze wataalamu wa afya na bio-kemia hapa wadadavue hoja hii!
 
PK sorry giza saa hizi, sikuona vizuri heading, nilifikiri 'nyeti za mbu na asali zake'. I humbly apologize.

Weweeee!
We Mnyaki una matatizo eeh?:lol:
Vipi jana jamaa zako wa yale mabasi 2 toka Mbeya walifika kwa Mch. Mwasapile kumsalimia?
 
unapewa net unaachia uranium kule namtumbo kweli imefika mahala tunabadilishana net na madini
 
net moja kwa kila mtanania kwa uraniun yetu, tena zinatuuua, kudadadeki akili ni nywele..................
 
tatizo la history ni kukariri matarehe bila kujifunza somo ndani yake,
hivi tutawacheka babu zetu waliobadilishana almasi kwa nguo, visu ...............nk???? wakati tumebadilishana dhahabu ya barrick na neti, tena zenye sumu??????
WAJUKUU ZAKO WATAKUULIZA HAYO, UNA MAJIBU
 
Back
Top Bottom