Netanyahu's Likud wins Israel Election

Netanyahu's Likud wins Israel Election

ni gaidi namba moja., hana huruma na wanadam wenzake wa parestina., anawaua wakubwa kwa wadogo na kuwapora ardhi zao huku dunia nzima ikibaki kimya kanakwamba anachofanya ni sahihi. walipouawa wafaransa 12 kwenye tukio maarufu hivi karibuni tulishuhudia maandamano makubwa,. Leo kila uchao waparestina wanauwawa hakuna wakuwasemea.,huruma iko wapi!!!

acha unafiki waafrika wanakufa kwa ukimwi na malaria hujawaonea huruma, hao sub human wa kipalestina wanakufa kifo rahisi kabisa cha kupigwa risasi unajifanya kuwaombea huruma, unaliwa alifu.
 
ni gaidi namba moja., hana huruma na wanadam wenzake wa parestina., anawaua wakubwa kwa wadogo na kuwapora ardhi zao huku dunia nzima ikibaki kimya kanakwamba anachofanya ni sahihi. walipouawa wafaransa 12 kwenye tukio maarufu hivi karibuni tulishuhudia maandamano makubwa,. Leo kila uchao waparestina wanauwawa hakuna wakuwasemea.,huruma iko wapi!!!

Mkuu mimi nakushauri anzisha maandamano na kuwasemea wapalestina (waparestina kama ulivyowaita), bila utapata watakao kuunga mkono
 
ni gaidi namba moja., hana huruma na wanadam wenzake wa parestina., anawaua wakubwa kwa wadogo na kuwapora ardhi zao huku dunia nzima ikibaki kimya kanakwamba anachofanya ni sahihi. walipouawa wafaransa 12 kwenye tukio maarufu hivi karibuni tulishuhudia maandamano makubwa,. Leo kila uchao waparestina wanauwawa hakuna wakuwasemea.,huruma iko wapi!!!
Umesoma history Yake Lakini ? Kaka ake una kumbuka aliyofanya Uganda .Hawaogopi watu
 
Msikilize hapa wakati ni kijana wa miaka 28.

[video]https://youtu.be/YQx3XMkiVbg[/video]
 
Aibu iliyoje kwa Baraka H. Obama alipeleka timu ya kampeni ili wakaimarishe kampeni dhidi ya Ben, ameumbuka.

alikuwa analipiza,kumbuka hata netanyau alimhujumu obama kipindi kile cha uchaguzi wa marekani.ngoma draw
 
wananchi wa israel mara nyingi hawapendi viongozi goigoi hasa linapokuja suala la usalama wao na taifa lao.

kama ndivyo wangemchagua Naftali benet ama liebman,hao ndo wehu hasa kule israel.
 
hapo wazee wa swala tano pressure iko juu mbya kabisa
 
MziziMkavu

Congratulations prime minister Bibi! I think Obama's plan backfired, because the more I get to know this Prime Minister the more respect I have for him and the more I like him!!

Obama atasababisha democratic kupoteza next time.Kwani Sera zake hazina tofauti na Bibi Hillary Clinton.
Ninai.ani Republican wanarudi.next time kusimamia show. Na hapa Israel, Saudi, USA watakuwa pamoja ku-deal na kitisho cha Iran. Kwani hats mfalme mpya wa Saidia e
Amezitaka nchini za kiarabu kutambua adui yao mkuu ni Iran na ndiye kikuu pale arabuni. It seems hata saudia wanapingana na mienendo ya Obama.kwenye salata la nuclear program la Iran.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huwa mnanufaika nini kutukana Palestine na Israel??!!!
 
Back
Top Bottom