Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

Alipouwa wanajeshi 2 akawa na nguvu sana?????? je akiuwa wanajeshi 100 si atakuwa na nguvu kabisa maana ameuwa 2 akawa na nguvu sana.
Pole sana we unajida mwanajeshi mstaafu wa JWTZ, hebu tuambie nini mana ya adui yako aingie mpaa kwenye mipaka yako umeweka kila silaha na Rada za kumuona afu anakutwanga hata kama kauwa mmoja? Hebu tuambie wacha kutoa mapovu.
 
Povu unatoa wewe Hizbolar wameuwa 2 wanapigiwa debe je wakiua 100 si itakuwa balaa mimi nasema hivi vita ni vita na ushindi haupatikani mezani ushindi ni kuchukua au kuteka na kurudisha Haki yako iliyoporwa na si kuuwa askari 2 au 100 kama haki yako bado iko mikononi mwa adui bado haijaitwa USHINDI na USHINDI unapatikana kwenye uwanja wa MEDANI au uwanja wa vita tu.

No surprise. Warmongering is the usual campaign tactic of Netanyahu
 
Povu unatoa wewe Hizbolar wameuwa 2 wanapigiwa debe je wakiua 100 si itakuwa balaa mimi nasema hivi vita ni vita na ushindi haupatikani mezani ushindi ni kuchukua au kuteka na kurudisha Haki yako iliyoporwa na si kuuwa askari 2 au 100 kama haki yako bado iko mikononi mwa adui bado haijaitwa USHINDI na USHINDI unapatikana kwenye uwanja wa MEDANI au uwanja wa vita tu.
2x9=18 dogo sio 2. +4x9=36 yani hesabu zina sema hivi katika gari 9 zilikuwa zimebeba wanne wanne basi nusu walikufa, na nusu wako kwenye mauti ya kitandani.
 
Hongera kwa kuwaua askari wa Israel kwa HISIA
2x9=18 dogo sio 2. +4x9=36 yani hesabu zina sema hivi katika gari 9 zilikuwa zimebeba wanne wanne basi nusu walikufa, na nusu wako kwenye mauti ya kitandani.
 
2x9=18 dogo sio 2. +4x9=36 yani hesabu zina sema hivi katika gari 9 zilikuwa zimebeba wanne wanne basi nusu walikufa, na nusu wako kwenye mauti ya kitandani.

Mudi ndio alikufundisha kushabikia mauaji?labda kwakua alitumwa na shetani wala sishangai.
 
dogo Hezbollah sio magaidi kama umelala pole sana hao wamo kwenye serekali ya Lebanon na wako katika Lebanan Parliament. Wale wakitaka kuiangusha serekali ya Lebanon ni dakika tu. Kwa hio wacha ujinga, sio kila watu ni magaidi. Dunia nzima tunajua gaidi ni Israel tu, ndio anayepiga sharia za UN.

MWEEE!! Akili za kuambiwa ....., huu utahira sasa, hivi waislam ni nani aliyewaroga? Niachen mie niendelee kufungia maandazi kale kakitabu kenu, maana kama ndo kanawafundisha haya, hata (...ban..at...work...) hamtapata
 
Back
Top Bottom