Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

Netanyahu: Walioua wanajeshi watakiona

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
150104035900_netanyahu__640x360_reuters_nocredit.jpg

Benjamini Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel.

Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu amesema wote waliohusika na mashambulizi dhidi ya msafara wa majeshi ya Israel watalipa gharama ya waliyoyafanya.

Israel imesema wanajeshi wake wawili waliuawa na wengine saba kujeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na Hezbollah katika mpaka kati Lebanon na Israel.

Mara tu baada ya shambulio lililosababisha wanajeshi hao wawili kuuawa,Israel ilijibu mapigo kwa kufyatua makombora kwenda Lebanon.

Nayo majeshi ya Kulinda amani ya Umoja wa mataifa nchini Lebanon limesema mwanajeshi wao mmoja aliuawa.

Akitoa onyo dhidi ya walihusika na shambulizi hilo Netanyau amesema wote waliohusika lazima wawajibike.

"Yoyote aliyehusikia na shambulizi atalipa gharama. Kwa nyakati fulani Iran kupitia Hezbollah imekuwa ikijaribu kuanzisha mashambulizi ya kigaidi dhidi yetu kutoka katika milima ya Golan.

Tutajibu kwa nguvu zetu zote majaribio ya mashambulizi haya. Serikali ya Lebanon na utawala wa Rais wa Syria Rais Bashar una utahusika na matokeo yoyote kutokana na mashambulizi yanayoanzisa kutoka kwenye mipaka ya nchi yake dhidi ya taifa la Israel.

Kwa matukio yote haya mpango wetu ni kulilinda taifa la Israel. Tunachozingatia ni usalama wa taifa la Israel na watu wake. Ndio maana tutachukua hatua na tataendelea kuchukua hatua."Amesema Netanyahu.

Nayo Hezbollaha kwa upande wake imekiri kufanya shambulio hilo kwenye msafara wa majeshi ya Israel kwenye mpaka kati ya Lebanona Israel.

Hezbollah imesema shambulio hilo ni majibu ya mashambulizi ya angani yaliyofanywa na Israel siku kumi zilizopita ambayo yaliua Jenerali wa Iran na wapiganaji sita wa Hezbollah katika mji wa Queneitra nchini Syria.

Msemaji wa Hamas huko Gaza Sami Abu Zuhria mesema shumbulio hilo dhidi ya Israel lilikuwa la haki.

Chanzo: BBC

Kelele za kichaa tu hizo, watu wote wanajua Natanyahau hawezi kusubutu kuwasogelea Hezbollah. Anasema walio wauwa wanajeshi wa Israel watakiona, mbona Hezbollah kamtangazia pale pale kama mimi ndio nimewauwa. Umeona tofouti kati ya Hezbollah na Israel. Hezbollah akifanya kitu anasema sio yeye Israel anaficha yani huwa anawaogopa kina nani kusema kafanya yeye? Sa dogo mwabie Hezbollah kamtangazia kama yeye ndio kawauwa wanajeshi wa Israel sa wacha tumuone kama mwanaume atafanya anayo yasema, lakini mimi nakupa uhakika 100% huyo Natanyahau atapotea kimya kimya sababu anajua Hezbollah siku zote wanawadharau sana wanajeshi wa Israel, na huwa wanawaita Nyumba ya baibui, kwa kiarabu Nasurllah huwa anasema (Bait Ul Ankaboot ) yani hakuna daharu kama hio dogo kuambiwa jeshi lako kama Nyumba ya baibui hahaha.
 
Benjamini Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel
Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu amesema wote waliohusika na mashambulizi dhidi ya msafara wa majeshi ya Israel watalipa gharama ya waliyoyafanya.
Israel imesema wanajeshi wake wawili waliuawa na wengine saba kujeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na Hezbollah katika mpaka kati Lebanon na Israel.
Mara tu baada ya shambulio lililosababisha wanajeshi hao wawili kuuawa,Israel ilijibu mapigo kwa kufyatua makombora kwenda Lebanon.
Nayo majeshi ya Kulinda amani ya Umoja wa mataifa nchini Lebanon limesema mwanajeshi wao mmoja aliuawa.
Akitoa onyo dhidi ya walihusika na shambulizi hilo Netanyau amesema wote waliohusika lazima wawajibike.
"Yoyote aliyehusikia na shambulizi atalipa gharama. Kwa nyakati fulani Iran kupitia Hezbollah imekuwa ikijaribu kuanzisha mashambulizi ya kigaidi dhidi yetu kutoka katika milima ya Golan. Tutajibu kwa nguvu zetu zote majaribio ya mashambulizi haya. Serikali ya Lebanon na utawala wa Rais wa Syria Rais Bashar una utahusika na matokeo yoyote kutokana na mashambulizi yanayoanzisa kutoka kwenye mipaka ya nchi yake dhidi ya taifa la Israel. Kwa matukio yote haya mpango wetu ni kulilinda taifa la Israel. Tunachozingatia ni usalama wa taifa la Israel na watu wake. Ndio maana tutachukua hatua na tataendelea kuchukua hatua."Amesema Netanyahu.
Nayo Hezbollaha kwa upande wake imekiri kufanya shambulio hilo kwenye msafara wa majeshi ya Israel kwenye mpaka kati ya Lebanona Israel. Hezbollah imesema shambulio hilo ni majibu ya mashambulizi ya angani yaliyofanywa na Israel siku kumi zilizopita ambayo yaliua Jenerali wa Iran na wapiganaji sita wa Hezbollah katika mji wa Queneitra nchini Syria. Msemaji wa Hamas huko Gaza Sami Abu Zuhria mesema shumbulio hilo dhidi ya Israel lilikuwa la haki.

kwa tunaomjua netanyahu na waisrael sikiliza uone akina hamas na hezbollah watafanywa nini na watatafutana kwa kichapo.
 
Israel anaomba UN waingilie kusimamisha vita kati yake na Hezbollah, Natanyahau kazidiwa jamani.
 
Hamas ndo size yake. Siyo Hezbollah. Wale jamaa ni tofauti na PLO au HAMAS. Wao wakilianzisha wanalianzisha hasa. Ni vita kwa kwenda mbele.
 
dogo Israel katuma ujumbe kuwa hataki vita na Hezbollah. Israel anajua wazi Hezbollah ni moto mkali sana kwake.
 
Hamas ndo size yake. Siyo Hezbollah. Wale jamaa ni tofauti na PLO au HAMAS. Wao wakilianzisha wanalianzisha hasa. Ni vita kwa kwenda mbele.

sasa mbona hao hao hezbollah wanapukutika na isitoshe wanashambulia kiuwoga na kwa kuvizia. israel ni habari nyingine.
 
Source:radio iman morogoro
dogo soma magazeti ya Israel au fungua Al Alam tv. Tazama breaking news ya gazeti la Israel. dogo si waislam huwa hatusemi uwongo kama nyie wakristo.

9:38 AM Lebanese media: Beirut received assurances from West that IDF not planning new front (Haaretz) http://www.haaretz.com/
 
Kelele za kichaa tu hizo, watu wote wanajua Natanyahau hawezi kusubutu kuwasogelea Hezbollah. Anasema walio wauwa wanajeshi wa Israel watakiona, mbona Hezbollah kamtangazia pale pale kama mimi ndio nimewauwa. Umeona tofouti kati ya Hezbollah na Israel. Hezbollah akifanya kitu anasema sio yeye Israel anaficha yani huwa anawaogopa kina nani kusema kafanya yeye? Sa dogo mwabie Hezbollah kamtangazia kama yeye ndio kawauwa wanajeshi wa Israel sa wacha tumuone kama mwanaume atafanya anayo yasema, lakini mimi nakupa uhakika 100% huyo Natanyahau atapotea kimya kimya sababu anajua Hezbollah siku zote wanawadharau sana wanajeshi wa Israel, na huwa wanawaita Nyumba ya baibui, kwa kiarabu Nasurllah huwa anasema (Bait Ul Ankaboot ) yani hakuna daharu kama hio dogo kuambiwa jeshi lako kama Nyumba ya baibui hahaha.

Hivi lile shambulio liloua general wa iran na makamanda 6 wa hezbollah lilifanywa na nan?
 
dogo unaongelea kabla ya hii news au sa sijui wewe mzima au mwendawazimu. Nani kaja na news ya kusema Natanyahau anasema alio wauwa wanajeshi wa Israel atakiona mimi au wewe. Sa kama news hio mbona Hezbollah kalipa, sa mwambie Natanyahu nayeye alipe sasa. Au kama huna jipya kalale mbele usitultee ujinga hapa.
 
Takbir naona majini yamepanda, relax dont panic. Makanda 6+1 general wa iran=7 kwa wanajeshi 2 ndo kulipa ivo!! Yaan ww kwa viakili vyako ukimkopesha mtu 500 akakupa 200 ndo umeshalipwa eti!!
Ulisema israel awezi kuwazogelea hezbollah ndo mana nikahoji hao makamanda 6 waliuwawa na nan?
 
Inaitwa tit for tat hiyo haina kupepesa macho, Hamas wanyonge siku zote ila pale kakutana na Rungu maana alikua analilia Bakora!
 
Hata Hamas Israel hamuwezi kitu gani alicho kifany agaza zaidi ya kuvunja majumba, Israel yeye anadhani kuvunja majumba, shule, hospital sijui mitambo ya umeme ndio kashidna vita, alienda gaza akasema anaenda ifuta Hamas kabisa isiwe ina exist na Hamas mpaa leo wapo wanaexist na jana wamemshangilia Hezbollah alicho kifanya.
 
Takbir naona majini yamepanda, relax dont panic. Makanda 6+1 general wa iran=7 kwa wanajeshi 2 ndo kulipa ivo!! Yaan ww kwa viakili vyako ukimkopesha mtu 500 akakupa 200 ndo umeshalipwa eti!!
Ulisema israel awezi kuwazogelea hezbollah ndo mana nikahoji hao makamanda 6 waliuwawa na nan?
Oh ulisikia Israel alisema nini, alisema hakutegemea wale ni kamanda wa Hezbollah akawa anaomba msamaha, kasome magazeti ya Israel dogo wacha kuwa unaongea kama kichaa. News bado ziko we fatilia tu tena magazeti ya Israel.
 
Israel anaomba UN waingilie kusimamisha vita kati yake na Hezbollah, Natanyahau kazidiwa jamani.

Amna ata kitu unaongea. Magaidi woote dunia wakiua wanatangaza na video wanatoa wala hawafichi sasa hapo chaajabu nini.
 
dogo unaongelea kabla ya hii news au sa sijui wewe mzima au mwendawazimu. Nani kaja na news ya kusema Natanyahau anasema alio wauwa wanajeshi wa Israel atakiona mimi au wewe. Sa kama news hio mbona Hezbollah kalipa, sa mwambie Natanyahu nayeye alipe sasa. Au kama huna jipya kalale mbele usitultee ujinga hapa.

Uislam ni shida nyingine hapa duniani. Yani mpo kisharishari tuu.
 
Amna ata kitu unaongea. Magaidi woote dunia wakiua wanatangaza na video wanatoa wala hawafichi sasa hapo chaajabu nini.
dogo Hezbollah sio magaidi kama umelala pole sana hao wamo kwenye serekali ya Lebanon na wako katika Lebanan Parliament. Wale wakitaka kuiangusha serekali ya Lebanon ni dakika tu. Kwa hio wacha ujinga, sio kila watu ni magaidi. Dunia nzima tunajua gaidi ni Israel tu, ndio anayepiga sharia za UN.
 
Back
Top Bottom