Soma historia mkuu,Jamaa muongo sana huyu! Taifa lilikuwa created 1947 sasa huo mji mkuu ulikuwepo vipi kwa miaka 3,000!?
Nov. 29, 1947 | U.N. Partitions Palestine, Allowing for Creation of Israel
Soma historia mkuu,
Kama waweza soma Biblia ni kitabu bora kuliko vitabu vyote duniani
Mkuu hizo story z Jana.. Tunataka flashback z akina musaHistory haiko mahali pamoja Mkuu. Israel kulikuwa na uwezekano kuwa created Uganda pia.
Mkuu kama unalohilo agano ambalo halikuchakachuliwa liweke hapaNani kakumbia bora kuliko vitabu vyote duniani? Mshauri atafute agano la kale ambalo halikuchakachuliwa.
Mkuu hizo story z Jana.. Tunataka flashback z akina musa
hlf matukio kama haya unakuta hata pesa yake inakuwa!Mtu mmoja tu katikisa dunia
Shkamoo trump
Mkuu hawa jamaa wayahudi wanafuata biblia kama ndo katiba yao! so usishangae.Jamaa muongo sana huyu! Taifa lilikuwa created 1947 sasa huo mji mkuu ulikuwepo vipi kwa miaka 3,000!?
Nov. 29, 1947 | U.N. Partitions Palestine, Allowing for Creation of Israel
Tamko la Trump imesababisha dola imeshuka thamanihlf matukio kama haya unakuta hata pesa yake inakuwa!
Netanyahu ni tapeli, mnafiki mkubwa....Netanyahu ni myahudi na wayahudi hawaitambui biblia....anasema hivyo kutafuta huruma ya wakristoMkuu hawa jamaa wayahudi wanafuata biblia kama ndo katiba yao! so usishangae.
huu mji watautaifisha tu wakishirikiana na mmarekani si unaona wanavyo enda kwa pasi trump to Netanyahu!,kumbuka wamerekani waliwasaidia waisrael kurejea hapo baada ya kile kipigo kikali toka kwa hitler.
Huo ni uongo mkubwaTamko la Trump imesababisha dola imeshuka thamani
au ndo waarabu wameanza kuiwekea vikwazoTamko la Trump imesababisha dola imeshuka thamani
wayahudi hawaitambui biblia kivipi..?Netanyahu ni tapeli, mnafiki mkubwa....Netanyahu ni myahudi na wayahudi hawaitambui biblia....anasema hivyo kutafuta huruma ya wakristo