Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,644
- 39,726
mi ni baba yako.Dogo mbona povu linakutoka??? Najua ni ngumu kumeza
mi ni baba yako.Dogo mbona povu linakutoka??? Najua ni ngumu kumeza
Kuwafikia katika jambo gani?, njaa, rushwa, ukabila, mauaji yasiyokuwa na kikoma, ukosefu mkubwa wa ajira, slums, ugaidi, ukame, kudhulumiana ardhi?, tujulishe kuwafikia katika jambo gani?Tutabaki kubwabwaja tu wakenya wana roho mbaya huku wenzetu wakipeta tu na kuwafikia hatuwezi. Tunajitia mamikosi wenyewe kwa kupiga na kuua watu na chuki za ki******
Nonsense, hakuna kitu kama IQ, ni propaganda tu ya kuhalalisha white men are better than black men.Netanyahu, kiongozi wa nchi mwenye IQ kubwa kuliko wote duniani - utafiti.