Hizi hazifai kabisa!!!!!! Mliniuzia zikadodaNi imara na inapendezesha nyumba
Wateja wa dar kuletewa buree
Kufunga pia ni buree
Wamikoani tunatuma pia
Zipo rangi za aina mbalimbali
Malipo mpaka upate mzigo wako
Ni tsh 60,000 tuu
Mawasiliano; [HASHTAG]#0715523866[/HASHTAG] watsap and call karibu
View attachment 571495View attachment 571496View attachment 571497View attachment 571499
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm CHUMA ninazo,nipe bei!Ni imara na inapendezesha nyumba
Wateja wa dar kuletewa buree
Kufunga pia ni buree
Wamikoani tunatuma pia
Zipo rangi za aina mbalimbali
Malipo mpaka upate mzigo wako
Ni tsh 60,000 tuu
Mawasiliano; [HASHTAG]#0715523866[/HASHTAG] watsap and call karibu
View attachment 571495View attachment 571496View attachment 571497View attachment 571499
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilitaka ninunue kujikinga na malaria.....hivi kwenye kwichikwichi zinaweza kumuacha mtu salama kwelii[emoji87]Hizi hazifai kabisa!!!!!! Mliniuzia zikadoda
Sitokaa nirudie kosa... Mavimeo sijawahi kuona.Hizi hazifai kabisa!!!!!! Mliniuzia zikadoda
Sijawahi kuzifurahia hizi chandarua....yani ukiwasha feni tu mbu wote wanahamia ndani ya neti na vyuma vyake ni vya hovyo sana havikawii kuchomokachomoka.Sitokaa nirudie kosa... Mavimeo sijawahi kuona.
Hayako imara kabisa yani...
Ungeweka walau na picha tofauti na hizo za kwenye mtandao uhalisia uwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuzifurahia hizi chandarua....yani ukiwasha feni tu mbu wote wanahamia ndani ya neti na vyuma vyake ni vya hovyo sana havikawii kuchomokachomoka.
Kwa ushauri kama unataka net ya aina hiyo ni bora ukatengeneze vyuma kwa mafundi wanaotengeneza vitanda vya chuma halafu ununue neti za kawaida uning'inize kuliko ununue zizi la mbu.
Mimi nilitaka ninunue kujikinga na malaria.....hivi kwenye kwichikwichi zinaweza kumuacha mtu salama kwelii[emoji87]
Nadhani mbu wanazipenda sana hizi neti...Sijawahi kuzifurahia hizi chandarua....yani ukiwasha feni tu mbu wote wanahamia ndani ya neti na vyuma vyake ni vya hovyo sana havikawii kuchomokachomoka.
Kwa ushauri kama unataka net ya aina hiyo ni bora ukatengeneze vyuma kwa mafundi wanaotengeneza vitanda vya chuma halafu ununue neti za kawaida uning'inize kuliko ununue zizi la mbu.
Sijawahi kuzifurahia hizi chandarua....yani ukiwasha feni tu mbu wote wanahamia ndani ya neti na vyuma vyake ni vya hovyo sana havikawii kuchomokachomoka.
Kwa ushauri kama unataka net ya aina hiyo ni bora ukatengeneze vyuma kwa mafundi wanaotengeneza vitanda vya chuma halafu ununue neti za kawaida uning'inize kuliko ununue zizi la mbu.
Sitokaa nirudie kosa... Mavimeo sijawahi kuona.
Hayako imara kabisa yani...
Nimeshtuka uliposema net za machuma, hivi wajua net ni hicho kitambaa?? Sema net yenye stand za chuma!Ni imara na inapendezesha nyumba