Net Pay TZS 960,000

kama ndio hivyo natakiwa nijiajiri sasa hiyo au ndio wanataka hawa watu wawe wezi na mifumuko ya bei ilivyo juu jamani

si ndo maana rushwa ipo juu sasa he he he he he
 
Kwa wanaotoka vyuoni wataiona ni hela na si mbaya kuanza nayo, lakini kwa tuliowahi kuajiliwa zamani hiyo ni kiasi cha mboga tu!

sasa kwa hiyo kazi asilimia kubwa wanaoajliwa ni hao from skul so ni kiasi poa hicho
 
Hapo kila mtu Mungu nisaidie kweli Mungu anakazi.Mapenzi ya Mungu yatimie kwa wote mlioandaliwa kufanya kazi hapo.Kwa ambao mtakosa msife moyo aminini haukuwa wakati sahihi kufanya kazi hapo au sio sehemu yako hiyo yako inakuja.IN GOD WE TRUST.Tuseme Amen

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa mwaka ni 11,520,000/= ukijiajiri kwa kulima vitunguu eka 4 na mahindi eka 5 unaingiza zaidi ya 16m kwa mwaka
hivi ndugu umeshawahi kulima wewe au unakisikia kilimo cha jembe mkono?
then umewahi kusikia wapi peasant economy imemtoa mtanzania?
 
Pia si nasikia kama huna g.p.a ya upper second au first class tra huingii!!?
 
natanguliza hongera zangu kwa wale ambao watakuja kufanikiwa kulipwa tzs 960,000 pale tra,wakipita aptitude test na interview. Good be with you all

sasa hapo unachopongeza wewe ni hicho ki-amount cha 960,000 ama kufanya kaz TRA?
 
kwa tra hata wakiniambia ifanye kazi bure mimi nitaenda tu,kule watu wanajilipa mara 20 ya huo mshahara

una wazimu wewe,wanajilipa kwa utaratibu gan sasahiv mnachukulia poa sana.bla shaka we ni mgen wa utumish wa umma.
 
una wazimu wewe,wanajilipa kwa utaratibu gan sasahiv mnachukulia poa sana.bla shaka we ni mgen wa utumish wa umma.
Kwani hiyo mijumba mnayoporomosha kila siku ya ma bilioni ni mishahara yenu?si tunaishi na nyinyi mitaani na tunajua matanuzi yenu,labda hii system mpya ya kulipia ushuru kupitia MPESA kama ndiyo itakuwa kikwazo kwenu,That is why idara yenu zamani ilikuwa inaitwa KAZITAMU [CUSTOM]
 
Natanguliza hongera zangu kwa wale ambao watakuja kufanikiwa kulipwa tzs 960,000 pale tra,wakipita aptitude test na interview. Good be with you all

ukiandika kiswahili utaeleweka zaidi na hutokosea hivi kuliko kuweka maneno yasiyo sadifu maana ya ulichotaka kuelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…