Ametimiza miaka mingapi? Maana mi sipendi kutajiwa miakaHongera Maria Roza....Happy birthday to you!!!
Ametimiza miaka mingapi? Maana mi sipendi kutajiwa miaka
ya mtu siku ya msiba tu.
18++++
Hongera Maria Roza....Happy birthday to you!!!
Aisee..nowadays hata tongozo tutakuwa tunaomba copy ya certified birrh cert..tusije kuishia jela kwa kubeba teensHadi uweke birth certificate maana siku hizi hawaaminiki ...... wakitaka kuingia night club wanadai wapo above 18th, wakiswekwa lupango wanadai wana 17...lol...
Happy Birthday Marie!!!!
Losambo hivi vitochi kuattach magraphics ni mtihani...tuwekee kwa niaba..ila ujumbe muhimu!Mbona umempa Happy Birthday simple sana? Complicate kidogo kwa kumuwekea maua manini, Maria Rosa ni mtu mzito hapa jukwaa mkuu.
All in all, Happy Birthday Maria Rosa mutu ya watu.
Hadi uweke birth certificate maana siku hizi hawaaminiki ...... wakitaka kuingia night club wanadai wapo above 18th, wakiswekwa lupango wanadai wana 17...lol...
Happy Birthday Marie!!!!
Losambo hivi vitochi kuattach magraphics ni mtihani...tuwekee kwa niaba..ila ujumbe muhimu!